Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Perfect Combo
IMG-20191023-WA0015.jpeg
 
Kila lililo la kheri kwa chama langu la faida AJAX AMSTERDAM chama langu la home kabisa hili .....mimi nishaweka mzigo tayari nasubiri kuwithdraw tu
Uwe mwangalifu Chelsea ni nzito mno itakufilisi ni jini hili ,blue is the color tunapeperusha bendera ya jiji la London piga hukohuko Amsterdam kwa soka safi mno
 
Mungu fundi aiseeeeeh
Kuna dogo mmoja alikuja mbiombio kule ktk jukwaa la timu kubwa kuonesha Nico Pepe alivyokosa clear chance,,,,sasa muda mfupi uliopita batshuay yeye na goli kapiga mnazi
Picha zinakuja.

This is ️ so punguza ngenga kabla hujavuka mto.....

Semeni Thanks VAR


La sivyo mngeandaa 🧯🧯 maana moto wake usingezima kirahisi
 
Kipindi cha kwanza Chelsea hawakuwa na mpira muda mwingi lakini waliziba mianya yote ya mashambulizi na jana Tomori, Zouma, Azpi na Alonso - mabeki wote walikuwa kwenye top form. Tulizidiwa kidogo kwenye mf na general ball control/retention yetu haikuwa nzuri, tulinyan'ganywa mpira kirahisi. Kipindi cha pili Ajax walionekana kuchoka na kutoa mwanya wa kuzidiwa na hasa baada ya kuingia Pulisic aliongeza penetrations nyingi ambazo zilikuwa very dangerous kwa Ajax. Jana Pulisic angekuwa na Assists mbili kama Batshuayi asingekosa goli la wazi kwa deflected pass kutoka kwa pulisic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom