hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,035
Unamaanisha Chelsea hii hii inayoitwa the blues auchelsea ni timu ya kuianzishia uzi apa
chelsea hata katika nne bora ktk timu zitakazo chukua taji la EPL haitambuliki
Unamaanisha Chelsea hii hii inayoitwa the blues auchelsea ni timu ya kuianzishia uzi apa
chelsea hata katika nne bora ktk timu zitakazo chukua taji la EPL haitambuliki
Wakuu inakuwaje apa tunaongoza?View attachment 1242419
Kwa Abraham sawa Ila kwa mount ujaona shughuli alikuwa anafanya mount alikuwa anakabia juu lakini pia alikuwa anafanya movement without ballChelsea VS Ajax
Nilichogundua hawa akina Tammy na Mount hawawezi game kubwa ofcourse kwa sababu ya uzoefu. Alipoingia Batshuayi mbele ilionekana very simple wakati Tammy alibanwa kisawasawa.
Japo Tomori alimuweka sawa yule winger wao hatari anaitwa Hakim Ziyech
Batshuayi kafunga goli la ushindi.. Halafu leo unasema tushukuru VAR ile game yetu na Liver uliwaambia waseme ahsante kwa VAR? Mahaba yenu ni motomotoMungu fundi aiseeeeeh
Kuna dogo mmoja alikuja mbiombio kule ktk jukwaa la timu kubwa kuonesha Nico Pepe alivyokosa clear chance,,,,sasa muda mfupi uliopita batshuay yeye na goli kapiga mnazi
Picha zinakuja.
This is️
️
️
️
️ so punguza ngenga kabla hujavuka mto.....
SemeniThanks VAR
La sivyo mngeandaamaana moto wake usingezima kirahisi


#CFCKichwa kinamuuma LampardHuyu jamaa anapiga chenga za kasi kama umeme. Safu ya ushambuliaji hapo mbele ni Fire kazi kwake Lampard kuwapanga.
Odoi - Mount - Willian
Odoi - Mount - Pulisic
Pulisic - Mount - Odoi
Pulisic - Mount - Willan
Pulisic - Mount - Pedro
Odoi - Mount - Pedro
Tuna Rudiger, Christensen, Tomori na Zouma sasa sijui ni nani hapo atatoka ili ampishe dogo. Ni changamoto kwa LampardJe dogo arudi STANFORD BRIDGE?View attachment 1242700
Unamaanisha Chelsea hii hii inayoitwa the blues au