Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Isije wewe ndo ukaliwa.
Nimekuambia hivyo cos hii game kwa Chelsea ni Kama fainal kwake cos ili awe sawa kipoint na Ajax ni lazima amfunge Ajax leo so atacheza kwa nguvu zake zote lakini pia Chelsea ana record nzuri against Ajax so unapokuwa una bet usipende kubet ovyo ovyo bila kuangalia mazingira ya mechi husika huo ndio ushauri wangu.
 
Ngoja tuone
 
Mzee umefail, mechi ya juzi alianza barkley ni kwa sabbu, kovacic alikuwa ametoka majeruhi, kwa vyovyote lazima angetokea benchi,
Then barkley karibu mechi zote anaanzia nje ( alitakiwa hata benchi asiwepo ).. kwa hyo usiseme anamuanzishaga barkley
In case ya pulisic na Mount, mount ana offer vitu vingi, kama vile magoli na assist, anakaba na anawezo na anajua kusipostion.
Pulisic sio mzuri wa kufunga, vile vile pumzi kisoda, pulisic anapaswa awe supersub au willian awe supersub, kwa ajili ya kuipa backup timu.
Hapo kw barcley may b labda kw kuwa kova alitoka majeruhi, sijui lakin ngoja tutaona mbeleni! halafu kuhusu mount simaanishi awe anatokea benchi hapana, nimesema kuna baadhi y games anapotea karibu dk zote 90 lkn kocha hat haoni.
 
Barkey na Kante hawajasafiri na Timu . kwaiyo hawatakuepo kwenye mechi ya Leo.
Lampard ana utaifa sana, hawez akamweka jembe lake barcley nje, Namshangaaga sana huyu kocha anapomwekaga nje kovacic na kumwanzisha barcley. Halafu pia kuna baadhi y game huwa zinamkataa Mount lakin kw vile ni mtaifa hambadilishi huwa anamshikilia dk.90 wala hat hambadilishi na kumuweka Pulicic
 
Mzee umefail, mechi ya juzi alianza barkley ni kwa sabbu, kovacic alikuwa ametoka majeruhi, kwa vyovyote lazima angetokea benchi,
Then barkley karibu mechi zote anaanzia nje ( alitakiwa hata benchi asiwepo ).. kwa hyo usiseme anamuanzishaga barkley
In case ya pulisic na Mount, mount ana offer vitu vingi, kama vile magoli na assist, anakaba na anawezo na anajua kusipostion.
Pulisic sio mzuri wa kufunga, vile vile pumzi kisoda, pulisic anapaswa awe supersub au willian awe supersub, kwa ajili ya kuipa backup timu.

mkuu umemaliza kila kitu hapa
 
Kila lililo la kheri kwa chama langu la faida AJAX AMSTERDAM chama langu la home kabisa hili .....mimi nishaweka mzigo tayari nasubiri kuwithdraw tu
 
mara ya mwisho chelsea kufungwa away kwenye European leagues ilikuwa ni mwaka 2018 ambapo alifungwa 3 bila Camp Now. Mpaka sasa zimeshapita match 8 hajafungwa away.
Hii game tunamwitaji giroud kuliko Tammy nafikiri kocha anatakiwa alitazame hili experience player Kama giroud mwenye kuamua game ndo anafaa cos hii game tunaitaji Sana point 3.
 
Tatizo la pulisic anakuwa on na off mbona hilo lipo wazi?
Kabisa chief Pulisic anacheza mpira wa kipaji, mount ni kitabuni.

Pulisic anaserereka na mpira kuelekea golini kutengeneza chance za kufunga.

Mount anafanya timing kwenye kufunga.

Ni vema pulisic akaanza yeye na odoi wafanye presha golini kwa ajax tuwadhibiti wasipande kwetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom