Hii ndio chelseaKila lililo la kheri kwa chama langu la faida AJAX AMSTERDAM chama langu la home kabisa hili .....mimi nishaweka mzigo tayari nasubiri kuwithdraw tu
Supu ya maweNimeua chelsea nasubiri ela ya supu
Yeye ndo katoa assist au?Captain America, what a player... Amekuwa na direct impact kila anapo pata nafasi ya kucheza... Mechi mbili za mwisho amehusika kwenye magoli , tena akicheza Kwa dakika chache tu.
Simply, PULISIC IS THE BEST![]()
Hahaha tangu juzi mikeka yako inachanika tuKila lililo la kheri kwa chama langu la faida AJAX AMSTERDAM chama langu la home kabisa hili .....mimi nishaweka mzigo tayari nasubiri kuwithdraw tu


ulimpa Liver, Man akachana ..umempa Ajax wanaume kibabe tumechana ...itakuwa pia ulikapa katimu kako arsenal ..lijanaume lililoshiba Shelfed United likachana dah..


Nimeua chelsea nasubiri ela ya supu
Nimekuambia hivyo cos hii game kwa Chelsea ni Kama fainal kwake cos ili awe sawa kipoint na Ajax ni lazima amfunge Ajax leo so atacheza kwa nguvu zake zote lakini pia Chelsea ana record nzuri against Ajax so unapokuwa una bet usipende kubet ovyo ovyo bila kuangalia mazingira ya mechi husika huo ndio ushauri wangu.




chelsea ni timu ya kuianzishia uzi apaAman kwenu wakuu
Hakika hii Chelsea ni noma sana yaan ni mwendo wa kujipigia tu
Yeyote ajaye mbele ni mwendo wa kunyukwa tu
Ajax kawambie wenzio kuwa sisi ni noma sana tena noma zaid ya noma
Super Frank
LONDON BOY
Uyo mwanao mjanja sana ..hamia na wewe uku ..toka uko ulipoKuna wakati kuwa nawasupport,mwanangu anapenda sana Chelsea.


Mimi ni Man united for life.Uyo mwanao mjanja sana ..hamia na wewe uku ..toka uko ulipo![]()
Kila lililo la kheri kwa chama langu la faida AJAX AMSTERDAM chama langu la home kabisa hili .....mimi nishaweka mzigo tayari nasubiri kuwithdraw tu
Leo mnafungwa au draw,yaani Chelsea bure kabisa.