Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa hivi timu yangu chelsea inanipa matumaini ila bado mapema tuwe na subira paka angalau january ndotutakua nawakika kama Chelsea imekua salama na lampard
 
Chelsea ilimkosa best defensive midfielder in the world ngolo kante lakini pengo lake dhidi ya Ajax haikuonekana kovacic na jorginho walikichafua ile mbaya hi ndo maana ya kocha wakati kipindi Cha sari na Conte tukimkosaga tu kante Chelsea inakuwa nyepesi na Mara nyingi tunapotesaga point Tena kwa team za kawaida tu ila kwa lampard bila ya kante it is possible

Kabisa kaka. Naamini Kante alipo najisikia raha japo majeruhi. Na inawapa motishs majeruhi wote wanakuwa na furaha wanapoona timu inaperform vizuri. #CheekRudgerKante# soon they will be back on the field
 
NIWAKUMBUSHE TUU:-

1. Tulibigwa ban ya usajili
2. Tuliondokewa na Hazard
3. Tuliondokewa na kocha aliyetupa Europa trophy
4. Tuna majeruhi kibao nje

Lakini imezaliwa Chelsea mpya moto ya world class players.

Sipati picha Abromovich huko alipo anajisikiaje, hajamwaga hela ya usajili na pesa ya mauzo ya Hazard, luiz imekaa bank tuu. Timu inawasha moto.

Anacheka kila anapoona hawa vijana wanachofanya uwanjani
IMG_5253.JPG
 
Kutoka September 1 mpaka leo hii October 24 tumecheza game 9 tumeshinda game 7 tumepoteza mbili ya Valencia na ya Liverpool. Katika game hizo zote tumefunga magoli 23 pia tumefungwa magoli 8 pia tumepata Clean Sheet 3 ushindi mfululizo mechi 6, kwa mwezi huu tumebakisha mechi mbili tu kati ya Burnley tar 26 19:30 PL pamoja na Man U tar 31 saa 23:05 EFL

Kwa takwimu hizo kiukweli tuna improve sana shida ipo kuzifanyia kazi nafasi zinazotengenezwa ili kupata magoli zaidi

Pia Lampand afanye rotation ili kila mchezaji ajione mwenye thamani kuichezea chelsea. Nimependa anavyofanya kwa sasa. Ili afanikiwe hasiwakumbatie waingereza kwenye stsrting XI. Hongera chama langu kwa ushindi next Barnley.
 
Sure. Kwa sasa chelsea miongoni mwa club chache zinazotengeneza nafasi nyingi sana za kufunga.

Kwa kweli TAMMY anatakiwa kila match angalau asitoke bila kufunga.

Kwa muda tuliopigwa ban ya usajili Hawa mastriker wetu wajitathimini kasi yao ya ufungaji na nafasi wanazotengenezewa.

La sivyo itatulazimu tuingie sokoni kusaka stiker matata.
Mkuu sokoni lazima tuingie hasa beki mmoja, kiungo mmoja pamoja na kwenye attacking lazima tufanyie kazi hizi nafasi.
 
Pia Lampand afanye rotation ili kila mchezaji ajione mwenye thamani kuichezea chelsea. Nimependa anavyofanya kwa sasa. Ili afanikiwe hasiwakumbatie waingereza kwenye stsrting XI. Hongera chama langu kwa ushindi next Barnley.
Yeah rotation ni muhimu kuongeza competence kwa kila mchezaji na pia itasaidia kupunguza specialization. Leo hii Jorginho asipikuwepo tutaanza kuwaza nafasi yake atachukua nani
 
NIWAKUMBUSHE TUU:-

1. Tulibigwa ban ya usajili
2. Tuliondokewa na Hazard
3. Tuliondokewa na kocha aliyetupa Europa trophy
4. Tuna majeruhi kibao nje

Lakini imezaliwa Chelsea mpya moto ya world class players.

Sipati picha Abromovich huko alipo anajisikiaje, hajamwaga hela ya usajili na pesa ya mauzo ya Hazard, luiz imekaa bank tuu. Timu inawasha moto.
Kwa ufupi tunacheza na team B, Team A iko majeruhi
 
Mimi mtu wa Liver ila nimepitia tu huku kusalimia. Unajuwa Ajax ni wazuri sana tu ila jana nawapa sifa zote Chelsea waliifanya Ajax kuonekana team ya kawaida sana tu. Chelsea walienda kama wababe na team kubwa walicheza kwa kujiamini sana na 3 5 2 ni mfumo unawafit sana Chelsea inawachezaji wanaondana na mfumo huo. Jana Chelsea walikuwa vizuri sana tu nadhani Lampard ana future nzuri kama kocha hakuna uwoga katika uchezaji wao.
 
Huu utani wa jorginho huu, kwa tulioangalia game Jana tuliona hili tukio, #Cfc #Blues
IMG-20191024-WA0003.jpeg
 
Timu yetu ni nzuri na kila mwaka tunakua na kikosi kizuri shida inakuja makocha. Wakati Antonio Conte anachukua PL na kikosi mimi kwa upande wangu nilichukia sana, ushindi kilikua kinapatikana kwa ubabe sana bila kuonesha mpira mzuri wa kuvutia. Niliwaambia watu kua msimu unaofuata tutashuka chini sana, sababu ushindi ulikua unalazimishwa sana mpaka ikasababisha wachezaji kuchoka na pia timu pinzani wakawa wanacheza mpira bila kulazimisha ushindi bali kwa plan nzuri.

Alipokuja Sarri, wachezaji walikua na uwezo mzuri wa kucheza na kwa kiwango kizuri shida ikaja mbinu ya kocha. Kila wakati mpira ulikua unarudishwa nyuma mara nyingi zaidi na hicho kilikua kinawapa wapinzani nafasi ya kujipanga, mbinu ya Sarri ya kutokufanya wachezaji kua na uchu wa kufunga magoli ilisababisha tunatoka uwanja kwa kucheza mpira vizuri ila tumefungwa. Kocha alikuja kustuka kwenye mechi tano za mwishoni baada ya kuona wapinzani wako TOH na MAN U.

Mechi ya kwanza kwa upande wa Lampard, Chelsea v Man U; niliona wachezaji walivyokua na plan nzuri ya uchezaji ila wakawa wanachelewa na kutegeana kwenye kukaba na mwishowe tukafungwa magoli manne. Ile shida ya kukaba kwa kutegeana kilifanyiwa kazi kwa kiasi ndiyo sababu Liverpool walitufungwa kwa shida kiasi.

Kikosi kinashida ya wachezaji kuchoka kipindi cha pili kwa baadhi ya mechi na pia majerui wanaongezeka kila kukicha, kocha wa makipa hajatimiza wajibu vizuri kwani anatambua kabisa kua Keppa si mrefu sana ki maumbile na hajamweka vizuri ili ajue jinsi ya kuendea mpira ya juu za kwenye angle.

Kwa uchache haya ndiyo maoni yangu....Blues is my colour
 
Batshuayi kafunga goli la ushindi.. Halafu leo unasema tushukuru VAR ile game yetu na Liver uliwaambia waseme ahsante kwa VAR? Mahaba yenu ni motomoto

Kwahiyo ule mnazi alioupiga haujauona alipobaki yeye na goli 🤣🤣au kwa kuwa Pepe ni mchezaji mkubwa kutoka timu kubwa ndio sababu mlikija kutoa povu kwa ile mis.....🤣🤣🤣🤣🤣


ThanKS VAR
 
Kazi kubwa ilifanywa na kovasic na jogihno
Mimi mtu wa Liver ila nimepitia tu huku kusalimia. Unajuwa Ajax ni wazuri sana tu ila jana nawapa sifa zote Chelsea waliifanya Ajax kuonekana team ya kawaida sana tu. Chelsea walienda kama wababe na team kubwa walicheza kwa kujiamini sana na 3 5 2 ni mfumo unawafit sana Chelsea inawachezaji wanaondana na mfumo huo. Jana Chelsea walikuwa vizuri sana tu nadhani Lampard ana future nzuri kama kocha hakuna uwoga katika uchezaji wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom