Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kabisa chief Pulisic anacheza mpira wa kipaji, mount ni kitabuni.

Pulisic anaserereka na mpira kuelekea golini kutengeneza chance za kufunga.

Mount anafanya timing kwenye kufunga.

Ni vema pulisic akaanza yeye na odoi wafanye presha golini kwa ajax tuwadhibiti wasipande kwetu.
Leo kufanya hivyo, alivyoingia Pulisic, Chelsea imekosa kosa mabao mpaka hatimaye moja ikakubali
 
Kimzaha mzaha Chelsea tunazidi kuwa tishio.
Kama umechaniwa mkeka na miChy BatShuaY nyoosha mkono juu!!
 
Timu ina improve siku hadi siku... Vijana wanacheza Kwa jitihada na kujituma Kwa hali ya juu

Hongera sana timu nzima pamoja na benchi LA ufundi.... Bila kuwasahau wapenzi na mashabiki WA Chelsea duniani kote.
 
Captain America, what a player... Amekuwa na direct impact kila anapo pata nafasi ya kucheza... Mechi mbili za mwisho amehusika kwenye magoli , tena akicheza Kwa dakika chache tu.

Simply, PULISIC IS THE BEST
 
Kila lililo la kheri kwa chama langu la faida AJAX AMSTERDAM chama langu la home kabisa hili .....mimi nishaweka mzigo tayari nasubiri kuwithdraw tu
Mchawi wewe , na utasubiri sana na timu yako ya wafu asenane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom