Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu inakuwaje apa tunaongoza?
Screenshot_20191023-222349.jpeg
 
Timu ina improve siku hadi siku... Vijana wanacheza Kwa jitihada na kujituma Kwa hali ya juu [emoji109][emoji109][emoji109]

Hongera sana timu nzima pamoja na benchi LA ufundi.... Bila kuwasahau wapenzi na mashabiki WA Chelsea duniani kote.

🤝[emoji1545]
 
Hahaha tangu juzi mikeka yako inachanika tu[emoji23][emoji23][emoji23] ulimpa Liver, Man akachana ..umempa Ajax wanaume kibabe tumechana ...itakuwa pia ulikapa katimu kako arsenal ..lijanaume lililoshiba Shelfed United likachana dah..[emoji31][emoji31][emoji31]
Mou aliwahi kusema hao ni mabingwa wa kupoteza. So usishangae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom