Apia nikaandae mazishi kabisa...Carabao fourth round
- Chelsea vs Man United
- Liverpool vs Arsenal
Hilo ni kweli kabisa, ila kuna watu wanadiscipline tangu udogo wao, mfano Tammy, Mount, na Tomori are disciplined boys. Ni kama TAA wenu, usitegee watadrop labda kwa sababu ya injury. Ni tofauti na akina Balotel au Kenedy
Conte alikuwa kocha sahihi sana wa Chelsea ..ila michezaji kama luiz, hazard ikamletea shobo mpaka boss akatimuliwa. Japo bado tuna amini kwa lampard ila conte ni kocha wa uhakika wa kukupa kombe kila msimu..
Ana uwezo wa kupanga kisifunge magoli mengi na kisicheze mpira mzuri lakini baada ya Dakika tisini kinaondoka na ushindi..
Msimu wake wa mwisho darajani tulifungwa goli chache sana na clean sheet zilikuwa nying sana.
Kila la kheri Conte...
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
At least sasa tunao watano tu kwenye injury list, wengine wote wamepona
- Ruben Loftus-Cheek returned date 2/11/2019
- Marco van Ginkel No returned date
- Emerson Palmieri returned date 19/10/2019
- Antonio Rudiger No returned date
- Andreas Christensen No returned date
kipaji cha Van Ginkel kimepotea hivi hiviAt least sasa tunao watano tu kwenye injury list, wengine wote wamepona
- Ruben Loftus-Cheek returned date 2/11/2019
- Marco van Ginkel No returned date
- Emerson Palmieri returned date 19/10/2019
- Antonio Rudiger No returned date
- Andreas Christensen No returned date
yani umpange Willian kama wingback?Tuna majeruhi wengi lakini bado tunakikosi kipana zaidi , And this is my best first eleven. View attachment 1216288
yani umpange Willian kama wingback?
At least sasa tunao watano tu kwenye injury list, wengine wote wamepona
- Ruben Loftus-Cheek returned date 2/11/2019
- Marco van Ginkel No returned date
- Emerson Palmieri returned date 19/10/2019
- Antonio Rudiger No returned date
- Andreas Christensen No returned date
Odoi si lazima awe mfungaji Sana ule uwezo wake wakutengeneza nafasi nyingi kwenye game moja na kusumbua mabeki kwangu ni muhimu sana hata huyo hazard hakuwa anafunga Sana Chelsea msimu wake Bora ni ule aliyechukua mchezaji Bora wa epl akifikisha magoal 20+ ya msimu tofauti na hapo hazard hajawahi kufikisha magoali 19 tu ya msimu japo kakaa miaka 7 chelsea.Mchezaji aliyekuwa anafunga Sana ni mata ambaye Kila msimu alikuwa anafikisha magoal 25+ na assist si chini 13 kasoro tu msimu ule wa Mourinho.Chelsea saa nyingine wanachekesha
Mimi sikuona uhalali wa kumpa Odoi mkataba wa Paundi 180,000 kwa wiki kwa miaka mitano, labda ajitahidi kuongeza level yake na aweze kuanza kila mechi kucheza kila wiki na kufunga. Lakini jana nilivyomuona sio mchezaji mbaya, advantage yake ni mwepesi ana mbio na ana juhudi ila sio clinical finisher kama alivyokuwa Hazard au Tammy. Kwa level aliyonayo sasa hivi alistahili sio Zaidi ya laki moja.
Mimi ninavyomjua Lampard anaweza mweka benchi akawa anasubiri tu mechi za Karabao na FA labda ajitahidi. Mfano jana baada ya mechi Lampard kasema Odoi kama anataka kucheza kila wiki ajifunze au kwa lugha ya moja kwa moja aongeze level yake ya uchezaji. Maana yake Lampard amemuona level yake bado haimpi fursa ya kucheza mechi za ligi kila wiki
Sijui wana Chelsea wenzangu mnalionaje hilo
Lampard says
"In terms of his performance, I wasn't so sure about the first half," Lampard said in his post-game press conference.
"I thought him and Christian [Pulisic] as wingers, the message was to hurt the line and run behind and get into the box to take people on. It wasn’t happening and that message didn’t get across.
"It was reinforced pretty strongly and in the second half [Hudson-Odoi] managed to get into better positions. Callum’s talent means that he absolutely works hard to run behind people, to get at people, to be inside, be outside and work off the ball, all those things.
“He needs to learn because if he wants to play week in and week out that is what he is going to have to do.”
Chelsea saa nyingine wanachekesha

Aliumia siku hiyo hiyo alipocheza, walimuwahisha kabla hajapona vizuriIvi mkuu Rudger kaumia tena?
Mkuu sizungumzii awe mfungaji, akipata nafasi anawaste sana. Mfano jana alipata nafasi nyingi lakini hata Samata anamshinda kwenye ujanja wa kumfunga kipa. Nafasi inapotokea hata mabeki wanatakiwa wawe clinical finisher ili tusiwaste hizo nafasi. Kwenye EPL nafasi za kufunga zinakuja mara moja na kuondoka, usipoitumia vizuri unailet down timu nzima. Hata hiyo unayosema ya kusumbua mabeki bado kama ukifuatilia vizuri mazungumzo ya Lampard baada ya mechi. kuna vitu alitegemea wafanye zile za kuingia ndani Zaidi na kupiga cross au pasi za hatari. Hata wing back kama akina Alonso Emerson wanamshinda Odoi na Pulisic. Labda bado tumpe muda ana umri mdogo na pia katoka tu majeruhiOdoi si lazima awe mfungaji Sana ule uwezo wake wakutengeneza nafasi nyingi kwenye game moja na kusumbua mabeki kwangu ni muhimu sana hata huyo hazard hakuwa anafunga Sana Chelsea msimu wake Bora ni ule aliyechukua mchezaji Bora wa epl akifikisha magoal 20+ ya msimu tofauti na hapo hazard hajawahi kufikisha magoali 19 tu ya msimu japo kakaa miaka 7 chelsea.Mchezaji aliyekuwa anafunga Sana ni mata ambaye Kila msimu alikuwa anafikisha magoal 25+ na assist si chini 13 kasoro tu msimu ule wa Mourinho.
Batshuayi nafasi 8 kufunga goli 1, umempatiaUpo right mdau. Mwanzoni kabisa nilipomuona odoi anacheza na sifa alizokua anapewa sio kiivyo ni amechangamka tuu.
Ki ukweli bado anatakiwa ajitume sana ili kufikia level juu na bado umri unaruhusu kujifunza.
Uzuri wa lampard amecheza mpira anafahamu aina ya wachezaji na viwango vya uchezaji.
Alipompiga benchi Batshuayi nilimuelewa sana, batshuayi anahitaji nafasi 8 kifunga goal 1.