Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,184
- 21,520
Waswahili tunasema dogo kasinya
Hakuna mchezaji kijana hasa hawa Waingereza, atakataa kusaini Chelsea ya Lampard hasa kipindi hiki cha ban
Uzuri Lampard hatoi namba kwa kuangalia majina bali bidii yako kwenye mazoezi, your level of motivation na output yako. Ingekuwa hivyo Luiz asingeondoka au Mount asingekuwa anaanza over Kovacic and Barkley au Tammy asingekuwa anaanza over Giroud and BatshuaiyIkiisha Ban na Chelsea kuanza kusajili wote hao Madogo watatamani siku zirudi Nyuma
WalaIkiisha Ban na Chelsea kuanza kusajili wote hao Madogo watatamani siku zirudi Nyuma
Uzuri Lampard hatoi namba kwa kuangalia majina bali bidii yako kwenye mazoezi, your level of motivation na output yako. Ingekuwa hivyo Luiz asingeondoka au Mount asingekuwa anaanza over Kovacic and Barkley au Tammy asingekuwa anaanza over Giroud and Batshuaiy
coming soon.........hahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaYule jamaa wa Arsena hajaja humu. Naamini muda si mrefu anatia nanga kuleta uchambuzi wa Arsenal baada ya Arsenal kushinda.
Tujiandae kisakolojia sisi na Liverpool.
Kitu kibaya kwa Wachezaji hawa Youngsters ni Consistency
Hawa wanakuwa vizuri msimu wa kwanza na pengine wa pili, Lakini wakiingia Kuanzia msimu wa pili au pengine wa tatu na wakisainishwa professional contract ndiyo wanaanza kula Bata na Mademu wakali na Kupotea.
Ni wachache sana ndiyo wanaoibukia na Talents wakiwa Madogo na kudumu kwenye Consistency
Mbona naona kama unaona tofauti!Kitu kibaya kwa Wachezaji hawa Youngsters ni Consistency
Hawa wanakuwa vizuri msimu wa kwanza na pengine wa pili, Lakini wakiingia Kuanzia msimu wa pili au pengine wa tatu na wakisainishwa professional contract ndiyo wanaanza kula Bata na Mademu wakali na Kupotea.
Ni wachache sana ndiyo wanaoibukia na Talents wakiwa Madogo na kudumu kwenye Consistency
Chelsea wenzangu naona mko kimya kesho ngoma uwanja wa nyumbani.
Hata wew ulifungwa ugeniniHata vs Valencia ulikuwa Nyumbani
@ryana fan mbona mchokozi ?/Yule jamaa wa Arsena hajaja humu. Naamini muda si mrefu anatia nanga kuleta uchambuzi wa Arsenal baada ya Arsenal kushinda.
Tujiandae kisakolojia sisi na Liverpool.
Hivi ni kweli?Tulishamzika Makaburi ya Kinondoni
La ufupi ni RIP
Mason mount AnajuaKuna uwezekano Ngolo Kante na Mason Mount wakawepo Katika Big Sunday game