Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yeah! Kutoka kana na hiyo formation, Willian atakua kama kiungo mshambuliaji , kwa maana atakua ana drive forward lkn Reece James atakuwa ndo wingback halisi. Means duration is on the pitch
Ili James Leece acheze kama wing back lazima kuwe na mabeki watatu nyuma, vinginevyo unakuwa umejiingiza kwenye hatari
 
Mtafute hapa kama utampata
THE 2018-2019 FIFA FIFPRO MEN’S WORLD 11 IS
Player (country, last season’s team)

GOALKEEPER
Alisson Becker (Brazil, Liverpool)

DEFENDERS
Virgil van Dijk (The Netherlands, Liverpool)
Matthijs de Ligt (The Netherlands, Ajax/currently Juventus)
Marcelo (Brazil, Real Madrid)
Sergio Ramos (Spain, Real Madrid)

MIDFIELDERS
Eden Hazard (Belgium, Chelsea/currently Real Madrid)
Frenkie de Jong (The Netherlands, Ajax/currently Barcelona)
Luka Modric (Croatia, Real Madrid)

FORWARDS
Kylian Mbappe (France, Paris Saint-Germain)
Lionel Messi (Argentina, Barcelona)
Cristiano Ronaldo (Portugal, Juventus)

Kama ulichokiandika hapa umeandika kimpira basi naomba ututhibitishie kuwa KANTE ni takataka tu hamna kitu Coz hapo hayupo.

Pia naomba uthibitishe hapa kuwa Mo Salah na Sadio Mane ni bora mbele ya Neymar.

Naomba uthibitishe hapa coz wewe unaamini viwango vya kura badala ya viwango vya uwanjani.
 
Case ilikuwa tu TAA, hao wengine ni mada mpya. Naomba ufuatilie mjadala ulipoanzia
 
Kuna huyu mtoto Gilmour, nimemuelewa sana .......apewe nafasi
 
Case ilikuwa tu TAA, hao wengine ni mada mpya. Naomba ufuatilie mjadala ulipoanzia

Kwahiyo kwa upande wa TAA ndiyo hicho kikosi cha FIFA ni reference kwako kwa ajili ya kuback up your claim.

Lakini linapokuja suala la Kante au Neymar hicho kikosi cha FIFA has nothing to do with your claim! Si ndiyo?

Then unaniambia ni-trace back your discussion??

I rest my case
 
Case ilikuwa tu TAA, hao wengine ni mada mpya. Naomba ufuatilie mjadala ulipoanzia
Umenifurahisha sana ulivyojibu mkuu......!!!!!yaani umejibu kinyonge sana,tukienda kwenye mada huyu SERGIO RAMOS aliyepewa ubavu katika hiko kikosi anaachwa mbali sana na TAA kiuwezo katika nafasi husika,kubali tu kwakuwa hayo ni mambo ya kuVOTE basi tusishangae siku kuona yatakayoshangaza zaidi ya haya tunayoyashangaa.
 
Huyu dogo alipewa nafasi sub ya Joghino tulikuwa tunaongoza 2 bila zikarudi zote FT- 2-2 kiungo ililemewa

Ni dogo mzuri ila anatakiwa acheze chini ya uangalizi wa Kante.
Hata kocha kasema ndani ya muda mfupi ujao atakuwa mchezaji mzuri. Kwa sasa bado hana namba akina Kovacic, Jorgininho wanamudu nafasi zao
Tutamuitaji kwenye mechi za Karabao na FA ili ajenge stamina zaidi uzoefu na kujiamini
 
Frank confirms that both Reece James and Callum Hudson-Odoi are in the squad for our Premier League game against Brighton tomorrow
 
Sisi mashabiki tuna tabia za ajabu sana yan huwa hatueleweki linapokuja suala la wachezaji wetu. Leo tutamsifia kesho tutamponda na pia tutasahau aliyofanya nyuma. Mfano, Willian katika mechi za mwanzo msimu huu hasa aliporejea kutoka maheruhi watu walimponda balaa mpaka kuna wengine wakaandaa list ya wachezaji wa kuuzwa Chelsea na jina lake likawemo lakini ndan ya mechi mbili za mwisho kabla ya hii ya Grimsby amesifiwa balaa sasa unaanza kujiuliza siyo hawa waliokuwa wanamponda.

Haya issue nyingine ni huyu dogo Odoi leo hii kuna watu wanasema hamna kitu pale kikuweli mimi nawashangaa sana hasa kwa huyu dogo. Hebu rudini mkaangalie zile clip za msimu uliopita mjiridhishe tena ndio mje na izo negative comments zenu. Ukiachana na media za EPL kum hype tukija kwa mitazamo yetu kimpira yan hamuoni chochote kwa huyu dogo wa miaka 18? Ooh the world is difficult for the blind. Huyu dogo ana zaidi ya miezi hagusi mpira msitegemee arudi uwanjani aanze kuonyesha mambo yake halafu bado ni mdogo ndio anajifunza katika umri wake ni kazi kufikia kiwango cha Sancho au Mbappe. Tuache upofu tumuangalie mbele zaidi siyo sasa dogo anajua.
54247235_274863333414083_2080486736077369366_n.jpeg
 
FIFA DISAPPOINTED BY "UNFAIR AND MISLEADING" REPORTS OVER VOTING FOR THE BEST AWARDS.

FIFA has hit out at "unfair and misleading" reports about votes not being counted towards its The Best awards.

Nominations for Mohamed Salah from Egypt's captain and coach were not included , while Nicaragua captain Juan Barrera claimed on Twitter he did not vote although his name is listed on FIFA's official documentation.

FIFA said this week in a statement released to Omnisport that Egypt's votes were not counted as they seemed "not valid" due to signatures in capital letters and world football's governing body has again moved to clarify the issue.

"FIFA has been disappointed to see a number of reports in the media questioning the integrity of the voting process for The Best FIFA Football Awards," said a statement on Friday. "These reports are unfair and misleading.

"The voting procedure for each of the awards is supervised and monitored by an independent observer, in this case PricewaterhouseCoopers (PwC) Switzerland.

"FIFA and PwC follow the Rules of Allocation and relevant standard control procedures. As per these procedures, FIFA requested all member associations to submit their voting forms both electronically and in writing.

"The written documents must also be signed by the responsible persons of the association as well as by the persons authorised to vote. Therefore in order for a vote to be valid it must include the respective signatures and the member association's stamp.

"Both FIFA and the independent observer can demonstrate that all the votes submitted in accordance with the rules and within the deadlines were taken into account. Consequently, there is no doubt whatsoever as to the authenticity of the result.

"Should there have been any case of wrong-doing, and even if this did not affect the result of the vote, FIFA will investigate and apply sanctions where necessary."

Salah appeared to be upset when FIFA's full list of voting was released without his country's selections, reportedly removing a reference to Egypt from his Twitter bio.

He also posted a cryptic message that read: "Whatever they do to try to change my love for Egypt, they will not succeed."

The award was claimed by Lionel Messi, who beat Liverpool star Virgil van Dijk and Juventus' Cristiano Ronaldo to the honour on Monday.
 
Mashabiki wengi wako hivyo, wanatumia mechi moja mbili kumjudge mchezaji na hata timu na kocha. Huo mm hua nauita ujinga.
Sisi mashabiki tuna tabia za ajabu sana yan huwa hatueleweki linapokuja suala la wachezaji wetu. Leo tutamsifia kesho tutamponda na pia tutasahau aliyofanya nyuma. Mfano, Willian katika mechi za mwanzo msimu huu hasa aliporejea kutoka maheruhi watu walimponda balaa mpaka kuna wengine wakaandaa list ya wachezaji wa kuuzwa Chelsea na jina lake likawemo lakini ndan ya mechi mbili za mwisho kabla ya hii ya Grimsby amesifiwa balaa sasa unaanza kujiuliza siyo hawa waliokuwa wanamponda.

Haya issue nyingine ni huyu dogo Odoi leo hii kuna watu wanasema hamna kitu pale kikuweli mimi nawashangaa sana hasa kwa huyu dogo. Hebu rudini mkaangalie zile clip za msimu uliopita mjiridhishe tena ndio mje na izo negative comments zenu. Ukiachana na media za EPL kum hype tukija kwa mitazamo yetu kimpira yan hamuoni chochote kwa huyu dogo wa miaka 18? Ooh the world is difficult for the blind. Huyu dogo ana zaidi ya miezi hagusi mpira msitegemee arudi uwanjani aanze kuonyesha mambo yake halafu bado ni mdogo ndio anajifunza katika umri wake ni kazi kufikia kiwango cha Sancho au Mbappe. Tuache upofu tumuangalie mbele zaidi siyo sasa dogo anajua.View attachment 1217788
 
Bayern sio wajinga walete 40m kwa player aliyebakisha 1yr

Mda utaongea tu

Kwa upande wangu na mkubali Sana cheek timu ikiwa inashmbulia n mzuri ,shida yake yuko slow Sana ila Ni mzur kupiga mashuti
 
Miaka miwili ijayo hawa watakuwa hatari san

  1. Billy Gilmour 18yo
  2. Marc Guehi 19yo
  3. Ian Maatsen 17yo
  4. Faustino Anjorin 17yo
  5. Tariq Lamptey 19yo
 
Miaka miwili ijayo hawa watakuwa hatari san

  1. Billy Gilmour 18yo
  2. Marc Guehi 19yo
  3. Ian Maatsen 17yo
  4. Faustino Anjorin 17yo
  5. Tariq Lamptey 19yo
Me nafikiri ni vizuri lampard akatoa nafasi moja ya nafasi ya kiungo mkabaji kutoka academy kuliko kuwapa nafasi left back na right back cos teyali tunao kwenye timu lakini ukimtoa kante hatuna kiungo mwingine mkabaji kwenye timu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom