Hizi timu zitavurunda sana huku Chelsea ikizidi kuimarika pamoja na kuwa itaendelea ku concede magoli
Asilimia ya kuvurunda imeonyeshwa
- Man United 35%
- Arsenal, 30%
- Spurs 20%
- Chelsea 15%
- Mancity 5%
- Liverpool 5%
Sababu kubwa ya Man U kuvurunda sana ni ujinga wao wa kuwauza mastrikers wazuri kama akina Lukaku na kubakia na Rashford ambaye hata goli 10 kwa msimu hawezi fikia. Pia kocha mbinu zake zimegonga mwamba. Sababu pekee ya Man U kupunguza kuvurunda ni kubadilisha kocha na kumleta kocha mwenye mbinu na mikakati kama Banitez au MO
Arsenal wasipomfukuza kocha asilimia ya kuvurunda inaweza ongezeka
Chelsea wakipunguza majeruhi hasa ya wachezaji muhimu kama akina Kante, Rudiger, RLC, Odoi na hao walio fit umakini wao utaoongezeka ila majeruhi yakiendelea kuwepo kuna uwezekano wa kuvurunda ukaongezeka
Hata hivyo mpaka mwisho wa ligi
Man united 6 hadi 7,8 inamhusu
Arsenal na Spurs watagombea namba 4
Liverpool na Man city wataendelea kufanya vizuri na hasa Liverpool. Kuna uwezekano wa city pamoja na kuzibamiza kwa hasira timu ndogo wataendelea kugawa point kwa timu hizo hizo ndogo wakati Man City anaweza kuchukua point sio chini ya 4 kwa top 6 ikiwemo Liverpool