Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi kwanini kocha hakufanya sub ya Mount akaingia Pedro au Pulisic, Abrahamu akaingia Giroud?
Giroud hakuwepo kwenye bench na Pulisic Lampard ana Imani kwa mason Mount Zaidi ya Pulisic. Kwa mtu anayestrugle halafu ukamchezesha kwenye mechi kubwa kama ile ya EPL ni kumuonea. Pulisic atapewa mechi ndogondogo na ligi ndogo ndogo kama FA na Karabao mpaka azoee
 
Murphy amkosoa Jose Mo kuhusu kuwaponda mashabiki wa Chelsea kuisifia timu hata baada ya kufungwa
Marphy anasema timu iliyo na vijana wadogo wenye positive mentality na wanatoboa moja ya defence imara duniani na kukosa kosa magoli kama lile la Mount na Abraham
Timu ambayo iko kwenye transition na bado imewadhbiti mabingwa wa Ulaya uwanjani na bado unawakosoa mashabiki.
Kwa performance ya Chelsea ambayo bado iko kwenye trasition na vijana wadogo, academy wakisha pita huo mpito Chelsea itakuwa ya kutisha
Kwenye msimu ujao mambo matatu yataifanya Chelsea itishe
  1. Kusajili wachezaji wapya wa kuziba viraka
  2. Viajana wa academy Tomori, tammy na mount watakuwa wazoefu
  3. Nategemea majeruhi hayatakuwepo tena kwa key players
 
Nampenda Alonso kwenye attacking hata defensively kaimprove sana - Asipodrop form basi Chelsea tuko lucky kuwa na LB wawili bora
Emerson ni mzuri Zaidi kwenye defensive phase
 
Baada ya kusugulishwa alonso
Saiv akipata nafasi anaitumia ipasavyo

Bado kule kulia azplicueta akisugulishwa na rjames akili ataipata
Nampenda Alonso kwenye attacking hata defensively kaimprove sana - Asipodrop form basi Chelsea tuko lucky kuwa na LB wawili bora
Emerson ni mzuri Zaidi kwenye defensive phase
 
Ningependa mechi ya EFL , dhidi ya Grimsby Town .Wachezaji kama R.James, Hudson - odoi , Pulisic na Batshuayi . wapate nafasi ili tuone uwezo wao .
 
Ningependa mechi ya EFL , dhidi ya Grimsby Town .Wachezaji kama R.James, Hudson - odoi , Pulisic na Batshuayi . wapate nafasi ili tuone uwezo wao .
Ndivyo Lampard alivyopanga, hasa Reece James na Odoi ili waweze kuwa fit kwa EPL
 
Aiseeeehhhh.....mimi nasema hivi TRENT ALEXANDER-ARNOLD ni best fullback in the world.....
Mtafute hapa kama utampata
THE 2018-2019 FIFA FIFPRO MEN’S WORLD 11 IS
Player (country, last season’s team)

GOALKEEPER
Alisson Becker (Brazil, Liverpool)

DEFENDERS
Virgil van Dijk (The Netherlands, Liverpool)
Matthijs de Ligt (The Netherlands, Ajax/currently Juventus)
Marcelo (Brazil, Real Madrid)
Sergio Ramos (Spain, Real Madrid)

MIDFIELDERS
Eden Hazard (Belgium, Chelsea/currently Real Madrid)
Frenkie de Jong (The Netherlands, Ajax/currently Barcelona)
Luka Modric (Croatia, Real Madrid)

FORWARDS
Kylian Mbappe (France, Paris Saint-Germain)
Lionel Messi (Argentina, Barcelona)
Cristiano Ronaldo (Portugal, Juventus)
 
Sasa wewe unaamini marcelo huyu wa sasa ni bora kuliko Andy Robertson?

Una utani sana wewe,Kieran Tierney,Ferlan Mendy ni bora kuliko Marcelo huyu......FIFA wanakariri,

Kwahiyo wameona wamuweke Sergio Ramos fullback ilimradi tu apate nafasi wakati kuna walioperform hiyo nafasi vizuri zaidi yake.....ile ni nafasi ya TRENT ALEXANDER-ARNOLD ,hao FIFA ni figisufigisu zimewaelemea na hii dhambi itawatesa sana
Mtafute hapa kama utampata
THE 2018-2019 FIFA FIFPRO MEN’S WORLD 11 IS
Player (country, last season’s team)

GOALKEEPER
Alisson Becker (Brazil, Liverpool)

DEFENDERS
Virgil van Dijk (The Netherlands, Liverpool)
Matthijs de Ligt (The Netherlands, Ajax/currently Juventus)
Marcelo (Brazil, Real Madrid)
Sergio Ramos (Spain, Real Madrid)

MIDFIELDERS
Eden Hazard (Belgium, Chelsea/currently Real Madrid)
Frenkie de Jong (The Netherlands, Ajax/currently Barcelona)
Luka Modric (Croatia, Real Madrid)

FORWARDS
Kylian Mbappe (France, Paris Saint-Germain)
Lionel Messi (Argentina, Barcelona)
Cristiano Ronaldo (Portugal, Juventus)
 
Predicted Chelsea XI against Grimsby Town today:
Caballero;

James, Guehi, Zouma, Maatsen;
Gilmour, Jorginho, Barkley;

Hudson-Odoi, Batshuayi, Pulisic.
 
Predicted Chelsea XI against Grimsby Town today:
Caballero;

James, Guehi, Zouma, Maatsen;
Gilmour, Jorginho, Barkley;

Hudson-Odoi, Batshuayi, Pulisic.
Kwasisi tunaoangalia mpira online hii game tutaona wapi?
 
Top 10 Best FIFA Players of the Year 2018/19
  1. Lionel Messi (Barcelona)
  2. Virgil van Dijk (Liverpool)
  3. Cristiano Ronaldo (Juventus)
  4. Mohamed Salah (Liverpool)
  5. Sadio Mane (Liverpool)
  6. Kylian Mbappe (Paris Saint-Germain)
  7. Frenkie de Jong (Barcelona)
  8. Eden Hazard (Real Madrid)
  9. Matthijs de Ligt (Juventus)
  10. Harry Kane (Tottenham)
 
Reece kufunga na assists 2. Hii ni motivation akijiandaa kuchukua mikoba ya Azpi
Odoi kufunga moja kakosa kama 3 za wazi
Pulisic pamoja na kucheza vizuri ila bado anastrugle
Batsuayi pamoja na kufunga 2 bado sio clinical finisher
Mwisho Chelsea vs Grimsby Town 7 - 1
 
We Dokta Ricky nini? Maana unachambua mpira vizuri sana [emoji3]
Reece kufunga na assists 2. Hii ni motivation akijiandaa kuchukua mikoba ya Azpi
Odoi kufunga moja kakosa kama 3 za wazi
Pulisic pamoja na kucheza vizuri ila bado anastrugle
Batsuayi pamoja na kufunga 2 bado sio clinical finisher
Mwisho Chelsea vs Grimsby Town 7 - 1
 
Carabao fourth round
  1. Chelsea vs Man United
  2. Liverpool vs Arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom