Mambo kadhaa niliyogundua kwenye mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Leicester City.
.
.
Yule beki wa kati wa klabu ya Leicester City, Caglar Soyuncu, ni moja ya beki mzuri ana umbo zuri la kucheza mpira ya juu Giroud, na Abraham, walikuwa wanapata wakati mgumu sana kucheza mpira ya juu
nina asilimia 80 anaweza kuziba pengo la Harry Maguire.
.
.
Tangu msimu uliopita apewe timu Brendan Rodgers, ni mwalimu wenye falsafa ya kuchezea mpira kumiliki Leicester kutoka kwenye kucheza mpira direct football mpaka kwenye mpira wa possession football amenikumbusha alivokuwa akihifundisha Swansea ikapewa jina la Swansealona
.
.
.
Kipindi cha kwanza Brendan Rodgers, alificha makucha yake kucheza kwa tahadhari kubwa na kuonekana na kumuacha Jamie Vardy, peke yake nyuma kama anazurura vile.
.
.
Maddison, yule anaevaa namba 10 wa Leicester City, ni mchezaji mzuri wenye spidi nguvu ana uwezo mkubwa ngome ya Chelsea, ilikuwa inapata wakati mgumu sana kumzuia.
.
.
Willian, bado ajawafiti ametoka majeraha mechi ilikuwa ina kasi sana muda mwingi alikuwa anachelewa kufanya maamuzi pale anapokuwa na mpira.
.
.
Kumtoa Jorginho, Frank Lampard, alifeli alikuwa anatuliza timu akiwa na umri kumuingiza Kovacic, maana yake anakwenda kuongeza nguvu ya kushambulia na kuwapa upenyo Leicester City.
.
.
Zouma naona anazidi kubadilika Siku hadi siku zinavosogea tofauti na mwanzo anaweza baadae huko mbeleni kuwa tishio.
.
.
Mwisho Lampard, unahitaji uwe na plan B kuanzia dakika ya 70 wachezaji wa Chelsea karibia wote walikuwa washachoka hii huenda ikakugharimu.
AROON