Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mashabiki wakaamua kuzichapa wenyewe uwanjani
cf19b7c4a0a90003103b4f426f1c57ef.jpeg
6a2e3000b447fa44a5b461cd21364968.jpeg
2f6a87bed2ee31277d524fe64694c9bd.jpeg
b019948e215bfc8367e1436683992bed.jpeg
 
Syo rahisi kucheza mechi kubwa j5 kwa dk 120 alafu utegemee kucheza kwa level ile ile J2. Hata Liverpool mliwaona jana. Kwa hiyo tusitumie tu emotions kufanya kudgement
Mechi 10 kufanya evaluation wenzio wanachukua point?? Pre season ulikuwa unafanya nini sasa
 
Tuzo ya kubwa jinga la wiki imechukuliwa tena na chelmavi kwa wiki ya pili mfululizo
Mkuu watanie ila lugha nzuri tumia , halafu kesho kuna man u na wolves

Bado ni mech ngumu ,man u anaweza asichomoke ., ikaja kuonekana bora Chelsea aliyepata droo
 
leister pamoja na kua inatoa wachezaji kadhaa kila baada ya msimu bado naona imekamilika
 
Mason Mount
Emerson
Kante
Azippilicueta
Pedro
Kepa
Ndiyo wenye uhakika na namba uwanjani. Maeneo mengine yaliyobaki bado Lampard hajapata watu. Je Loftus Cheek ataweza kum-outshine Mount?
Mount anaweza chenza Zaidi ya namab moja
 
Kituo kinachofwata kwa PUKKI
Huyu mzee atawapiga goli3 pekeake na kuondoka na mpira
IMG_20190818_225638_128.jpeg
 
Washabiki wa Chelsea hawana uvumilivu kabisa

-Azpi must be benched

-Sell willian, he doesn't seem want to play football anymore

-Worst chelsea team in Roman's era. Headless chickens who are playing like school kids. Not acceptable for a team who had just won the europa cup 3 months ago. Lampard has to go ASAP
 
Tumefungwa wadau na hasa kipindi cha pili tumezidiwa na sababu hasa ni;
1. Wachezaji wametumia dk 120 kucheza dhidi ya timu nzuri katikati ya wiki

2. Leicester ni timu nzuri na inacheza vizuri hasa katikati

3. Leicester wana kocha mzoefu anayejua kucheza mechi kubwa.

Mimi kwangu bado naona huu ni mwanzo kujua kama timu ni nzuri mbaya. Nimejipa mechi 10 kufanya evaluation.
Ila pia high pressing imekuwa too much. Chelsea wakipoteza mpira wanakuwa very vulnerable na hii ni kwa sababu ya too much pressing. Wachezaji wapress kawaida ili wakipoteza mpira waweze kurudi kwenye position huku wakiconserve energy - THIS IS VERY IMPORTANT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom