Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unapayuka Chelsea ni kakilabu ka pombe

Umenyukwa 4 kavu bado hujakauka ,unapata WAP nguvu ya kuropoka

Msimu huu tunawashusha daraja
Kilabu cha pombe kinashiriki Champions League ?Kilabu cha pombe bingwa wa Europa kwa kumfunga Arsenal 4-1 ,wewe hauna kitu unajua kwenye football ,nimekwambia kashabikie mapishi unabwatabwata tu hapa nakushushia vyuma ,ongea kwa FACT uonekane mwenye akili sio ,uropokaji humu jukwaani tunakuona zumbukuku tu
 
Man U hana zaidi ya droo. Mimi nimejitokeza wazi tofauti na wengine hawa wanaozunguka
ati unasema?
FB_IMG_1565200648353.jpeg
 
Wasipojiangalia kwa timu zilivyojipanga wanashuka kweli

Wewe Watford winger wana Ismair sarr , forward wana welbeck na Deney, kiungo wana deocure na kina Pereira,

Everton wana Trio safi IWOBI-RICHARLSON-KEANE MOISE

bado kina wolves ,Leicester

Wasipokaa sawa na Ban waliyoipata watajikuta mwezi wa 4 wanapigania wasishuke daraja
Ukimaliza kupiga porojo ya kutaja majina utadhani upo PlayStation ,hesabu tutafanya mwisho wa msimu ,mwaka 2018/2019 ulitoweka msituni ukawa unatupa tupa lawama kwa kila mchezaji wa team yako ya ajabu ajabu
 
Kilabu cha pombe kinashiriki Champions League ?Kilabu cha pombe bingwa wa Europa kwa kumfunga Arsenal 4-1 ,wewe hauna kitu unajua kwenye football ,nimekwambia kashabikie mapishi unabwatabwata tu hapa nakushushia vyuma ,ongea kwa FACT uonekane mwenye akili sio ,uropokaji humu jukwaani tunakuona zumbukuku tu
Pole sana kwa kipigo heavy
IMG_20190811_222101.jpeg
 
Kilabu cha pombe kinashiriki Champions League ?Kilabu cha pombe bingwa wa Europa kwa kumfunga Arsenal 4-1 ,wewe hauna kitu unajua kwenye football ,nimekwambia kashabikie mapishi unabwatabwata tu hapa nakushushia vyuma ,ongea kwa FACT uonekane mwenye akili sio ,uropokaji humu jukwaani tunakuona zumbukuku tu

Mkuu hata husibishane na mashabiki wa Asernal na hawa wasiyojua mpira. Wanepata pa kupunguza maumivu waliyopata mwezi wa Tano baada ya kufungwa 4 na chelsea.

Labda niwaulize ninyi mnaojitoa ufahamu kwa chelsea.

Je, ni chelsea pekee ndiyo imewahi kufungwa goli 4?

Man city msimu ulipita alimfunga Liver 5 bila, man u kala 4 tot kala 5.

Pia chelsea imewahi mfunga man u 4 bila, man city 6, Arsena 4 na 6 pia

Kufungwa kupo na ndiyo maana mkikutana kuna kushinda kushindwa na kudraw.

Timu zote zinaingia uwanjani kwa lengo la kupata points 3 yaani kushinda bila kujali itashinda goli ngapi.

So upande mmoja ikizidiwa mbinu basi inafungwa na kuchukuliwa points zote 3.

Jana tumecheza mpira ila tulizidiwa mbinu ya kufunga. So kwangu kufungwa its ok na najua next time bila ya kujali ni lini tutakuwa pouwa makosa yetu yaliyo onekana jana yatarekebishwa na kocha.

So ni jambo la muda tu. Comeonchelsea. Always blue in colour
 
Ni asenyoo pekee wehu walio toa mipesa kwa pepe ambaye hajawa proved kwenye epl... Huku mnakataa kuweka mkwanja kwa Zaha....
 
Tar 14 mnapewa ubatizo mwingine na wababe wa Ulaya kwenye Super Cup.
Mkuu sisi tumejiandaa na matokeo yoyote tutakayopata siku hiyo kwa sababu kwa sasa huwezi kumlaumu mtu kwa kinachoendelea kutokea. Ila balaa linakuja kwa sababu kwa minimum resources na muda mfupi aliokaa na timu cheki mpira tunaocheza.

Tatizo kubwa la Chelsea hawataki kuvumilia makocha na ndicho kinacho turudisha nyuma kila msimu. Ila kama atavumiliwa Lampard balaa lake litakua siyo dogo.
 
Mkuu hali ya sasa mashabiki wanaielewa, mimi naamini mashabiki wengi watamuelewa Lampard tu labda kwa ule mwaka unaofuata
 
Mkuu sisi tumejiandaa na matokeo yoyote tutakayopata siku hiyo kwa sababu kwa sasa huwezi kumlaumu mtu kwa kinachoendelea kutokea. Ila balaa linakuja kwa sababu kwa minimum resources na muda mfupi aliokaa na timu cheki mpira tunaocheza.

Tatizo kubwa la Chelsea hawataki kuvumilia makocha na ndicho kinacho turudisha nyuma kila msimu. Ila kama atavumiliwa Lampard balaa lake litakua siyo dogo.

Jana zile dakika 25 za mwanzo zilinionesha kwamba Lampard anaweza kuwa kocha mkali sana (given time and resources).

Lakini pia Chelsea as Chelsea ni timu kubwa, hivyo inapokutana na timu kubwa inaraise game yake.

Mimi ninasubiri kuona game kama 10 hivi, hasa pale mtakapokutana na hizi timu za midtable nione je ile formation ikikutana na wakabaji inatoboa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom