Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Asiseee na wewe leo unatoka kifua mbele kushangilia chelsea kifungwa. Ila ni haki yako unapooza maumivu ya zile 4 nilizokuchakaza juzi. Siyo mbaya leo kwangu kesho kwako
Pole sana tuliwaambia timu yenu bovu,mkawa mnadai tunawasingizia,sasa mnapigwa NA man u hii ,mmewapa kelele mitaani
IMG-20190812-WA0030.jpeg
 
Mkuu sisi tumejiandaa na matokeo yoyote tutakayopata siku hiyo kwa sababu kwa sasa huwezi kumlaumu mtu kwa kinachoendelea kutokea. Ila balaa linakuja kwa sababu kwa minimum resources na muda mfupi aliokaa na timu cheki mpira tunaocheza.

Tatizo kubwa la Chelsea hawataki kuvumilia makocha na ndicho kinacho turudisha nyuma kila msimu. Ila kama atavumiliwa Lampard balaa lake litakua siyo dogo.

Kweli umenena vema Southern Highland. Hata Guardiola Msimu wake wa kwanza haukuwa mzuri kina Lescister walimcharaza kweli kweli adi akaona Epl chungu. Hata Klop nae alikuwa anachezea vichapo kweli kweli lakini leo yupo pouwa ametengeneza timu.

So kwangu ni jambo la Muda tu. I hope lamp will be more than others
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Hao akina city na liverpool walifanya investment ya pesa ndefu mpaka timu zao zikabadilika. Hakuna shortcut kwenye epl.
Lazima mu invest kusajili wachezaji ... mkiwategemea hawa mlionaosasa hamtafika mahali

Jana zile dakika 25 za mwanzo zilinionesha kwamba Lampard anaweza kuwa kocha mkali sana (given time and resources).

Lakini pia Chelsea as Chelsea ni timu kubwa, hivyo inapokutana na timu kubwa inaraise game yake.

Mimi ninasubiri kuona game kama 10 hivi, hasa pale mtakapokutana na hizi timu za midtable nione je ile formation ikikutana na wakabaji inatoboa?
Ni swala la muda mkuu..
 
Hahahaha umeua mkuu
Sasa Arsenal wanaweza kushinda kitu gani ?nilifungwa na arsenal nikawa bingwa kinachoshindaniwa EPL ni trophie kisha nafasi NNE za uefa ,sio nani kamfunga nani,team yako haina uwezo wa kuchukua hata carabbao kwa nini nisiite kibonde
 
Chelsea inahitaji additions chache tu. Central defender na striker hasa
Hao akina city na liverpool walifanya investment ya pesa ndefu mpaka timu zao zikabadilika. Hakuna shortcut kwenye epl.
Lazima mu invest kusajili wachezaji ... mkiwategemea hawa mlionaosasa hamtafika mahali
 
mkuu waonee huruma
Ohoo tumecheza vzr ,wakati wachezaji wenu ndio hao hao ,

Zikifika mech 10 mpo top 6 mnaenda kubeba EPL ,

Kipa kepa

CB Zuma & na nan sijui

Sub tomori

Straika sasa ,jirud ,Abraham

Yaan mnaleta kikosi cha championship EPL ?

tutaelewana vzr msimu huu
 
Mm nasema msimu mtapigwa hadi mchakae ,sisi wachambuzi wazoefu tunaiona Chelsea ikifurukuta lakini inakata roho , sioni mkipata hata point 1 kwa top 6,

Naona Everton, Watford ,astonvilla , Leicester wakiwabonda

Kufikia krismass Mtabadili kocha lkn wachezaji ni hao hao ,

Mtapigika sana msimu huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom