Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hizo game kubwa zinazokuja ndio kabisaa yani.
Bora hata na man u mlikuwa na chance kubwa. The thing is chelsea mmeuza wachezaji muhim bila mipango ya kuziba mapengo hayo.
Ndio nilichokiona jana.. haswa diffence na attacking zina matundu makubwa.
Sure mkuu, watoto wameucheza mpira na umeonekana. Tushukuru watagundua mistske nyingi ndogo mapema. Maana bahati tunapata game kubwa 3 ndani ya mwezi huu na ujao. Tuna nafasi nzuri vijana kurekebisha machache ikiwa bado mapema.
 
Manchester waaamini wanaenda beba ndoo, kituko.
Martial na rashford sio watu wa kukupä ubingwa. Mkitaka bisheni..
Sidhan kama man u wana nia ya kubeba ubingwa. Hata ole amelielezea hilo mara kibao kwamba target yake sio ubingwa bali ni kujenga kikosi.

Thats what happened. Hao unawaodharau ndio wamekutupia jana. Una lolote?
+ kuna dirisha dogo la usajili. Bado team ina improve.
 
Hizo game kubwa zinazokuja ndio kabisaa yani.
Bora hata na man u mlikuwa na chance kubwa. The thing is chelsea mmeuza wachezaji muhim bila mipango ya kuziba mapengo hayo.
Ndio nilichokiona jana.. haswa diffence na attacking zina matundu makubwa.
Chelsea imefungiwa usajili. Hapa hatuwezi kulaumu.

Halafu kama mtu anataka kwenda huwa hatulazimishi. Unamwacha aende aliikuta chelsea na ataiacha.
 
Sasa hii ilikuwa ni MUFC ambayo kati inasuasua, najiuliza itakuwaje Spurs ambayo kati kuna Ndombele,Sissoko na Eriksen? Mbele kuna Son na Kane?

Huu msimu nyie mna msiba mzito.
 
Chelse4 hawapo serious msimu huu
IMG_20190812_101411.jpeg
 
Unakumbuka kuwa msimu wa 2016/2017 tulipigwa 3 bila na Arsenal na baada ya hapo tukabeba ubingwa? Lampard ameonyesha Leo kwamba amefanya kitu. Hili la safu ya ulinzi atalifanyia kazi

Munasafiria Nyota ya 2016/17

Acheni utani basi
 
Wewe ulipata kwa hao uliwataja...?
Kipindi leicester anachukua ubingwa mlimaliza nafasi ya kumi na timu ilikua nzuri tu, sasa tuna mashaka na timu hii kama itaweza kweli mbele ya leicester,watford,wolves,everton na bournemouth,
Ikumbukwe msimu uliopita ulipata point moja moja tu kwa wolves,everton na leicester.
 
Mashaka yangu ni zile beki kupanda juu mpaka Middle Line huku mipango ya kukabiriana na Counter attack hawana...

Kipa nae kuna tatizo aisee, kwanini kaganda golini tuu bila kusoma mchezo na hata beki zake jinsi zinavyopanda.
Ndugu zangu Chelsea hii regardless ya matokeo ya Leo ni nzuri na ni ya Top 4, tunakwenda kuweka mikakati ya kukabiliana na counter attack na kurekebisha silly mistakes za mabeki
Man U walikuwa wakicheza kwa kuwakwepa Jorgninho na Kovacic ambao kwa kweli leo ndio wao waliamua mchezo uchezwege. Isingekuwa makossa ya mabeki matokeo leo yangekuwa mazuri sana
Hata forward inayobezwa iko vizuri
18 shots na 7 on target sio rahisi pale OT wakati wao ni Shots 11 na on target 5 tu
Performance ya naman hii ikifanyiw aimprovement kwenye defence, tutapata point nyingi tu za kutuweka mjini
 
Sidhan kama man u wana nia ya kubeba ubingwa. Hata ole amelielezea hilo mara kibao kwamba target yake sio ubingwa bali ni kujenga kikosi.

Thats what happened. Hao unawaodharau ndio wamekutupia jana. Una lolote?
+ kuna dirisha dogo la usajili. Bado team ina improve.
Ndio maana nikasema MKITAKA BISHENI... rukhsa kubisha mkuu..
 
Ndugu zangu Chelsea hii regardless ya matokeo ya Leo ni nzuri na ni ya Top 4, tunakwenda kuweka mikakati ya kukabiliana na counter attack na kurekebisha silly mistakes za mabeki
Man U walikuwa wakicheza kwa kuwakwepa Jorgninho na Kovacic ambao kwa kweli leo ndio wao waliamua mchezo uchezwege. Isingekuwa makossa ya mabeki matokeo leo yangekuwa mazuri sana
Hata forward inayobezwa iko vizuri
18 shots na 7 on target sio rahisi pale OT wakati wao ni Shots 11 na on target 5 tu
Performance ya naman hii ikifanyiw aimprovement kwenye defence, tutapata point nyingi tu za kutuweka mjini

Emerson kapiga ngapi? Ni striker yule?
 
Kuwa na adabu kidogo mtu kakuweka 3 kavu bado unamwita kibonde.....
Sasa Arsenal wanaweza kushinda kitu gani ?nilifungwa na arsenal nikawa bingwa kinachoshindaniwa EPL ni trophie kisha nafasi NNE za uefa ,sio nani kamfunga nani,team yako haina uwezo wa kuchukua hata carabbao kwa nini nisiite kibonde
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom