bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,705
Wewe ni kiazi haswa, hivi Rudiger, kante, wilian, batshwai na odoi, Kennedy wakipona mbwa koko gani ata mtisha Chelsea..?Mm nasema msimu mtapigwa hadi mchakae ,sisi wachambuzi wazoefu tunaiona Chelsea ikifurukuta lakini inakata roho , sioni mkipata hata point 1 kwa top 6,
Naona Everton, Watford ,astonvilla , Leicester wakiwabonda
Kufikia krismass Mtabadili kocha lkn wachezaji ni hao hao ,
Mtapigika sana msimu huu


