Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard na coaching, wapi na wapi jameni!!

Hihihii
Nina uhakika timu hii hii ya jana angekua nayo conte tusingefungwa hata goli moja.
 
Mkuu kama tumedhalilishwa na man u ambao kiuhalisia ni wabovu Kama sisi, unaamini kuna timu tutaifunga ndani ya zile top six
Unakumbuka kuwa msimu wa 2016/2017 tulipigwa 3 bila na Arsenal na baada ya hapo tukabeba ubingwa? Lampard ameonyesha Leo kwamba amefanya kitu. Hili la safu ya ulinzi atalifanyia kazi
 
Unakumbuka kuwa msimu wa 2016/2017 tulipigwa 3 bila na Arsenal na baada ya hapo tukabeba ubingwa? Lampard ameonyesha Leo kwamba amefanya kitu. Hili la safu ya ulinzi atalifanyia kazi
Kuna kitu kidogo sana cha kuongeza kwa hii chelsea, chelsea inacheza kibacelona ndio abromović anayoitaka. Wanamiliki sana mpira na mbele wanafika. Ishu ni maeneo fuani ya defence, ZOUMAAAAAAA ni beki wa kucheza Norwich..sio chelsea.
 
Takwimu zinaonyesha tumeviziwa viziwa tu,kila kitu kilikuwa upande wetu except goals only ,movement with and without ball were glorious the boys did good job ,let wait at the end it shall speak
Ukifungwa umefungwa tu

Ili usiviziwe defend vizuri
 
Ukifungwa umefungwa tu
Ili usiviziwe defend vizuri
Hawa watu hawajui ushindi unatafutwa kwa njia nyingi sio kumiliki mpira tu.
Kwa beki yao hiyo hata kama Man u angemiliki mpira bado wanafungika tu.
Cha msingi wajiulize kama wamemiliki game na wamekula 4.. Vipi siku game ikawakataa? Watashinda kwa foward yao iyo.?
 
Hamna namna
 
Mkuu mimi nimeangalia mechi vizuri. Ni vitu vidogo sana vya kurekebisha hata siumii na nafurahi tumeanza hivi inaonyesha mapungufu mapema sana. Kufika mechi kumi tutatafutana hapa.
Sure mkuu, watoto wameucheza mpira na umeonekana. Tushukuru watagundua mistske nyingi ndogo mapema. Maana bahati tunapata game kubwa 3 ndani ya mwezi huu na ujao. Tuna nafasi nzuri vijana kurekebisha machache ikiwa bado mapema.
 
Jana tumewazalisha 4kids kea mpigo,vidume man u.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom