Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani winger huwa ni mfunga magoli? nimeeleza vizuri hapo juu, hata kama akifunga jukumu lake la msingi sio kufunga magoli. Hata Ramos amefunga magoli mengi kuliko kuliko mawinga wengi maarufu wa EPL wakati yeye ni defender tu

Hao mawinga ambao wanaopitwa magoli na Ramos au beki yeyote ndio hao mawinga magarasa

Then Winger kazi yake ni nini kama kufunga na kuassist sio kazi yake?
 
Hicho kikosi mnapigwa vizuri sana

This time nyinyi hamna Forward wa maana (Pedro Tia maji Tia maji, Willian we mwenyewe unamjua)

Nadhani mtamshinda Man Utd kama Mtadefence vizuri maana wale kuconcede magoli lazima. Kama team collective defence haitakuwa vizuri lazima mlie
Sisi tuna uhakika Liverpool atambulia point moja tu kwa Chelsea. Manure na arsenal tutapita na point zote!!
 
Kuna forwards strikers na kuna forwards wingers/attacking midfielders sasa wewe unawazungumzia wa aina gani??

Positions 7,9,10,11 wote ni Maforwards/Attackers ila tofauti ni titles zao zao tu kulingana na position zao.
7) Right Winger/Wide attacker
9) Centre forward/Striker
10) Forward
11) Left Winger/Wide attacker
 
Kwani winger huwa ni mfunga magoli? nimeeleza vizuri hapo juu, hata kama akifunga jukumu lake la msingi sio kufunga magoli. Hata Ramos amefunga magoli mengi kuliko kuliko mawinga wengi maarufu wa EPL wakati yeye ni defender tu

Before 2007 Winger hakuhesabiwa kuwa ni mfungaji (Ndiyomana Kina Beckham, Overmas na Ashley Young) walipendwa ingawa hawakuwa wafungaji hatari)!
Lakini baada ya kuibuka Mtu kama Arjen Robben na Ribery wakafanya Mapinduzi ya Wingers , Sasahivi Winger ni Mfungaji kimajukumu hasa!
Winger Cross umeshapitwa na Wakati kwani kupiga Cross sasahivi ni kazi ya FULLBACKS na sio winger tena.
Siku hizi Winger asiyefunga goli 20+ per season in all competitions huyo bado hajafikia vigezo vya Winger shindani. Refer Salah, Mane, Hazard, Mbappe, Neymar and co.
 
Sisi tuna uhakika Liverpool atambulia point moja tu kwa Chelsea. Manure na arsenal tutapita na point zote!!

Nakuomba tu usipotee siku mnayopigwa maana kamezuka katabia watu fulani humu wakifungwaga huwa wanaingia mitini
 
Before 2007 Winger hakuhesabiwa kuwa ni mfungaji (Ndiyomana Kina Beckham, Overmas na Ashley Young) walipendwa ingawa hawakuwa wafungaji hatari)!
Lakini baada ya kuibuka Mtu kama Arjen Robben na Ribery wakafanya Mapinduzi ya Wingers , Sasahivi Winger ni Mfungaji kimajukumu hasa!
Winger Cross umeshapitwa na Wakati kwani kupiga Cross sasahivi ni kazi ya FULLBACKS na sio winger tena.
Siku hizi Winger asiyefunga goli 20+ per season in all competitions huyo bado hajafikia vigezo vya Winger shindani. Refer Salah, Mane, Hazard, Mbappe, Neymar and co.
Ngwaba, hakuna mtu kakataa asifunge magoli. ndio maana kimafumbo kabisa nikasema hata madefenders kama akina Ramos wanafunga magoli

Kwa football ya kisasa kila mchezaji anafunga magoli kwa ajili ya timu
Nilichosema pamoja na ufungaji wa magoli kwa kila mchezaji, bado yale majukumu ya msingi hayaondoki
Kipa kudaka
Beki kukaba
Midfilders kusimamia play behavior ya pale katikati,
Wingers kupeleka krosi na kwenda deep kwenye eneo la opponent na
Strikers kufunga,
Hiyo ndio flow ya duties za kila position. Ila pamoja na hizo duties za msingi, wote wanatakiwa pia kufunga magoli hata kama sio duties zao za msingi
 
Before 2007 Winger hakuhesabiwa kuwa ni mfungaji (Ndiyomana Kina Beckham, Overmas na Ashley Young) walipendwa ingawa hawakuwa wafungaji hatari)!
Lakini baada ya kuibuka Mtu kama Arjen Robben na Ribery wakafanya Mapinduzi ya Wingers , Sasahivi Winger ni Mfungaji kimajukumu hasa!
Winger Cross umeshapitwa na Wakati kwani kupiga Cross sasahivi ni kazi ya FULLBACKS na sio winger tena.
Siku hizi Winger asiyefunga goli 20+ per season in all competitions huyo bado hajafikia vigezo vya Winger shindani. Refer Salah, Mane, Hazard, Mbappe, Neymar and co.
I partially agree with you ila hili la Masamila kumuita Willian ni Garasa/Garasha is too extreme
Winger bado anaweza kuwa winger mzuri with less goals and assists japo akifunga ni faida zaidi
Na ndio maana Willian pamoja na umuhimu wake, hatuwezi kumlinmganisha na hao uliowataja kwa sababu they have advantages ya kufunga magoli mengi na kutoa assists nyingi
 
Kwani winger huwa ni mfunga magoli? nimeeleza vizuri hapo juu, hata kama akifunga jukumu lake la msingi sio kufunga magoli. Hata Ramos amefunga magoli mengi kuliko kuliko mawinga wengi maarufu wa EPL wakati yeye ni defender tu

messi hufunga 50 goals kwa msimu. Je anacheza position tafauti na Willian?
Salah last season alifunga 44 goals, msimu huu 25. Je huyu na Willian ni position tafauti?
 
Before 2007 Winger hakuhesabiwa kuwa ni mfungaji (Ndiyomana Kina Beckham, Overmas na Ashley Young) walipendwa ingawa hawakuwa wafungaji hatari)!
Lakini baada ya kuibuka Mtu kama Arjen Robben na Ribery wakafanya Mapinduzi ya Wingers , Sasahivi Winger ni Mfungaji kimajukumu hasa!
Winger Cross umeshapitwa na Wakati kwani kupiga Cross sasahivi ni kazi ya FULLBACKS na sio winger tena.
Siku hizi Winger asiyefunga goli 20+ per season in all competitions huyo bado hajafikia vigezo vya Winger shindani. Refer Salah, Mane, Hazard, Mbappe, Neymar and co.

Mkuu wingers sasa hivi wamekua ni mafoward, zamani walikua ni midfielders. Kwahiyo zamani wingers hawakua wakihesabika kama ni wafungaji, ila sasa winger forward moja kwa moja.
 
I partially agree with you ila hili la Masamila kumuita Willian ni Garasa/Garasha is too extreme
Winger bado anaweza kuwa winger mzuri with less goals and assists japo akifunga ni faida zaidi
Na ndio maana Willian pamoja na umuhimu wake, hatuwezi kumlinmganisha na hao uliowataja kwa sababu they have advantages ya kufunga magoli mengi na kutoa assists nyingi

Nakubaliana na wewe kwa kuali kua winger anaweza kuwa ni winger mzuri hata bila goals na assist kama mfano hai Ribery, Bernado Silva. wanamchango mkubwa sana kwenye kusukuma timu kimashambulizi.
Lakini si kwa Willian mkuu. Akicheza vizuri mechi moja sita zinazokuja anavurunda.
 
Ngwaba, hakuna mtu kakataa asifunge magoli. ndio maana kimafumbo kabisa nikasema hata madefenders kama akina Ramos wanafunga magoli

Beki kukaba
Midfilders kusimamia play behavior ya pale katikati,
Wingers kupeleka krosi na kwenda deep kwenye eneo la opponent na
Strikers kufunga,
Hiyo ndio flow ya duties za kila position. Ila pamoja na hizo duties za msingi, wote wanatakiwa pia kufunga magoli hata kama sio duties zao za msingi

Mkuu mpira umebadilika, hizo winger za kupiga cross unazungumzia miaka 15 nyuma. Winger saivi ni wafungaji. Na unakuta huyo striker anaekwa kwa kazi muhimu ya kuwatengenezea nafasi wingers wapati chance za kufunga nasio kufunga yeye. Mfano hai ni Mandzukic Juventus yupo kwa ajili ya kumtengnezea space Ronaldo ndio kazi yake kuu.

Suarez Barca, Firmino Liverpool, Giroud France. Yani kazi yao kubwa uwanjani ni kuwatengenezea nafasi winger zao zipate nafasi ya kufunga kuliko kuforcouse wao kwenye ufungaji. Na ndio mana Gerud alimaliza world cup bila ya goli lakini bado alikua starter kwenye mechi zote. na wala namba yake haikuwahi kushukiwa.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Uzi huu nu kwa wadau wa Chelsea, wewe unatafuta nini humu?
Huu ni uongo mkubwa katika watu waliokuwa wanaongea sana ni nyinyi ,ktk mwanzo wa msimu ulio pita na sariball yenu pamoja na kumrate joginho mpk mkafikia hatua ya kusema EPL mnaichukua nyinyi. Ila baada ya game kama 6 hiv joginho akaflop na kukongoroka kabisaaa

Na je unaweza kusema ni nani au ni mchambuzi gai aliwaexclude nyinyi kwenye top4 mwanzo wa msimu ulioisha???
 
Captain America
IMG_20190709_225710_417.jpeg
 
Naangalia upangaji wa kikosi wa Lampard katika mechi ya kirafiki na Bohemian naona anajaza viungo wengi katikati. Nahisi anaweza kutengeneza timu yenye viungo wengi na wazuri.

Kocha mkuu alikua midfield mzuri tu na pia kocha msaidizi alikua midfield mzuri pia. Hapo unategemea timu itakayotoka hapo itakuaje?
IMG_20190711_000544_937.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom