Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard anamtaka Billy Gilmour kwenye daftari la wachezaji wa viungo wa Chelsea msimu ujao. Bakayoko atauzwa au kuendelea na mkopo kwa silimia 90
 
Huyu dg nimzur
Huyu ndie aliyekuwa academy player of the year
Lampard anamtaka Billy Gilmour kwenye daftari la wachezaji wa viungo wa Chelsea msimu ujao. Bakayoko atauzwa au kuendelea na mkopo kwa silimia 90
 
Sasa kuna dogo anacheza midfield anaitwa Mason Mount. Ni hatari sana, huyu lazima abaki msimu huu. Ana prospect nzuri kwenye club.
Huyo kashapewa kitiki Cha blue mapema ila kwa bakayoko Ana kazi ngumu sana
 
Lampard anamtaka Billy Gilmour kwenye daftari la wachezaji wa viungo wa Chelsea msimu ujao. Bakayoko atauzwa au kuendelea na mkopo kwa silimia 90
Gilmour fundi sana huyo dogo. Bakayoko tunampotezea muda tu auzwe. Arsenal wanamtaka nilisikia
 
Yeah mason mount yuko vizur sana
Kuna yule tomori nae naona yuko poa

Abraham n batshuay jana walikuwa wachoyo kila mmoja anataka kufunga ili aonekane
Sasa kuna dogo anacheza midfield anaitwa Mason Mount. Ni hatari sana, huyu lazima abaki msimu huu. Ana prospect nzuri kwenye club.
 
Yeah mason mount yuko vizur sana
Kuna yule tomori nae naona yuko poa

Abraham n batshuay jana walikuwa wachoyo kila mmoja anataka kufunga ili aonekane
Wasipoangalia, mzee mzima OG atawapiku namba
 
Kuna watu wana wivu na Chelsea, waliisha shangilia kwa kupigwa BAN na kuondoka kwa Hazard na sasa wanasubiri Chelsea iangukie pua
Wengi wa hao wanatoka
  1. Liverpool
  2. Man U na
  3. Arsenal
 
Bayern Munich prepare new £45m bid for Chelsea's Callum Hudson-Odoi

666KB02:50
Bayern Munich will not give up their interest in signing Chelsea's Callum Hudson-Odoi and are expected to make a new £45million bid this week. That figure represents £10m increase on the offer they made on transfer deadline day in January.
 
Yan Bayern sijui wanachotaka kwetu ni nini? Hawa jamaa hawakati tamaa kwa CHO

Mzee wangu aliwqhi kuniambia ukiona mtu anang'ang'ania kitu akipate kwa gharama yoyote jiulize ye kaona nini kwenye kile kitu. Acha usiuze, ndio Marina na wenzake wasije kufanya biashara itakayotuumiza mioyo miaka minne ijayo.
 
Kuna watu wana wivu na Chelsea, waliisha shangilia kwa kupigwa BAN na kuondoka kwa Hazard na sasa wanasubiri Chelsea iangukie pua
Wengi wa hao wanatoka
  1. Liverpool
  2. Man U na
  3. Arsenal
Mkuu yan ni bora Liverpool kidogo ndio naweza msikiliza. Ila hao Arsenal na Man U mimi hata hawanitishi kabisa. Jaribu kufuatilia mwenyewe kwani siku hizi wanakuja hata jukwaani hapa? Liverpool sasa ivi ndio wana vijeuri wanzunguka majukwaa yote
 
Wakuu tuimbe kwa pamoja.

CHELSEA FC THEME SONG lyrics : "Blue Is The Color"

Track "Chelsea Fc Theme So…"

on Bandsintown

Chorus
Blue is the colour, football is the game
We're all together, and winning is our aim
So cheer us on through the sun and rain
'cause Chelsea, Chelsea is our name

Verse 1
Here at the Bridge whether rain or fine
We can shine all the time
Home or away, come and see us play
You're welcome any day

Chorus
Blue is the colour, football is the game
We're all together, and winning is our aim
So cheer us on through the sun and rain
'cause Chelsea, Chelsea is our name

Verse 2
Come to the Shed and we'll welcome you
Wear your blue and see us through
Sing loud and clear until the game is done
Sing Chelsea everyone.
 
Kuna watu wana wivu na Chelsea, waliisha shangilia kwa kupigwa BAN na kuondoka kwa Hazard na sasa wanasubiri Chelsea iangukie pua
Wengi wa hao wanatoka
  1. Liverpool
  2. Man U na
  3. Arsenal
Hao waache waendelee kutapatapa, sisi tunaendelea kujenga kikosi kitakacho washangaza msimu ujao..
 
Mkuu yan ni bora Liverpool kidogo ndio naweza msikiliza. Ila hao Arsenal na Man U mimi hata hawanitishi kabisa. Jaribu kufuatilia mwenyewe kwani siku hizi wanakuja hata jukwaani hapa? Liverpool sasa ivi ndio wana vijeuri wanzunguka majukwaa yote
Hahahahahahahahah Tulia tukunyooshe Super cup kwanza
 
Kuna watu wana wivu na Chelsea, waliisha shangilia kwa kupigwa BAN na kuondoka kwa Hazard na sasa wanasubiri Chelsea iangukie pua
Wengi wa hao wanatoka
  1. Liverpool
  2. Man U na
  3. Arsenal
Ukiwa unaiongelea LIVERPOOL tambua unawaongelea Mabingwa wa Ulaya na muda sio mrefu watakuwa Mabingwa wa Dunia nzima kwahiyo usiihusishe Liverpool kwenye hilo kundi la timu za kihuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom