Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

OK ili Chelsea ichukue ubingwa mwakani inabidi haya yatokee
  1. Hizi timu shindani waingie kwenye ugomvi/mgogoro AU
  2. Wachezaji vital waondoke Manciyty, Liverpool, Spurs AU
  3. Timu zote hasa kubwa za Top 6 zisisajili kuimarisha vikozi vyao.
Hili likitokea kweli tunaweza nasisi kuchukua ubingwa
ila kama Mancity na Liverpool walivyo sasa hivi na timu kali halafu bado tena wanaimarisha idara zao,
Arsenal na Man united na Spurs nao wanaingia sokoni kuleta silaha kali,
Sisi tunaingia uvunguni kuangalia kama kuna manati au kombeo duh, hakuna kitu hapo
Mkuu hiki kitu ndio nilichokililia siku zote. Kuondoka kwa Sarri kutatuumiza sana. Afadhali angebaki naweza sema angekua anajua anafanya nini kwa ajili ya misimu mitatu mpaka mitano ijayo. Yan kwa timua timua ya makocha hatuwezi kujenga timu kamwe. Sarri nina uhakika angeweza kuzibadilisha kombeo na manati kuwa AK47 pamoja na SMG mfano Emerson na RLC.

Lakini eti kuna watu wanafurahi Sarri kuondoka.
 
Kuna mashabiki wengi Chelsea hawajielewi. Sarri alifikia wakati anaawaanzisha Loftus Cheek, Odoi na Christensen pamoja kwenye EPL. This is a massive step. Tulizoea fukuza fukuza na ikatupa makombe ila kwa sasa mazingira yamebadilika sana. Bila kuwa na timu inayoelewa huwezi kutoboa kwa Liverpool hii na Man City
 
Ngoja tusubiri tutatangaziwa kocha gani ila kama ni Lampard sioni mwisho mzuri kwa msimu wake wa kwanza. Tutamchafulia heshima aliyotuwekea akiwa mchezaji.
 
Yani dah! Kila nikikumbuka michezo muliyoshinda kwa jitihada binafsi za Hazard basi nawaonea huruma sana!

Natangaza points zangu 6 kabisa za EPL ninachukua hapa
Hili ni jukwaa la Chelsea siyo Arsenal. Kawatangazie huko kwenye jukwaa lao
 
Sitegemei kuona mnamaliza mbele ya Lfc, spurs, city, united, arsenal, everton, wolves hivy kwa haraka haraka hata Europa msimu ujao2020/2021 hamtoinusa
Hata wakati msimu huu unaanza hatukuwa kati ya timu zitakazo maliza top 4,
Msimu ulipokua unaanza Liverpool alipewa asilimia kubwa kuchukua kombe,

Msimu ulipokua unaanza Man U alipewa nafasi ya kuchukua kombe hata moja.

Mungu hakupi unachotaka anakupa unachotafuta/ unachostahili.
 
Huu ni uongo mkubwa katika watu waliokuwa wanaongea sana ni nyinyi ,ktk mwanzo wa msimu ulio pita na sariball yenu pamoja na kumrate joginho mpk mkafikia hatua ya kusema EPL mnaichukua nyinyi. Ila baada ya game kama 6 hiv joginho akaflop na kukongoroka kabisaaa

Na je unaweza kusema ni nani au ni mchambuzi gai aliwaexclude nyinyi kwenye top4 mwanzo wa msimu ulioisha???
 
Eti wambea wanasema ban ikiondolewa lineup ya Chelsea itakuwa hivi
View attachment 1121372
Hamna team hapa, cotinyo hatufai kabisa, hiyo namba ni ya odoi,

Ondoa bakley hapo, mwachie namba kovacic, hapo nyuma aspi akae namba mbili kama kawaida

Shida yangu ni mabeki wa kati, hapo namwamini rudiger pekee. Tununue mabeki wa kati, sina shaka na icard au striker mwingine mwenye nguvu
 
Chelsea wanatakiwa kusubmit maombi ya kusimamishwa kwa ban kwa muda hadi rufaa yao itakapotolewa hukumu

Soma CAS walivyosema kuhusu ban ya FIFA:

"For a challenged decision to be stayed during the CAS proceedings, a specific request to this effect must be made.
"At the time of writing [June 7], a request has not been filed in the Chelsea/FIFA matter. Accordingly, the FIFA decision remains in force."
Watatuma tu na hilo ndio lengo lao
 
Kinachonishangaza ni kwamba baada ya Hazard kuhama, kuna majirani wameamua kutia kambi humu kana kwamba tuna msiba
Chelsea is going to be a very great and successful team in Europe after Hazard exit, take my word
Tunaweza tusiwe great msimu huu lakini Ban ikiisha au ikiondolewa, haya majigambo uchwara tutayaweka kwenye bin
 
Nashangaa na kucheka shabiki wa arsenal anakuja kuimba taarabu humu Wana point 6 tayr next season.Niwaambie hata ule msimu tuliomaliza nafas ya 7&9 am not sure Kama arsenal aliweza kutufunga game hata 1 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kinachonishangaza ni kwamba baada ya Hazard kuhama, kuna majirani wameamua kutia kambi humu kana kwamba tuna msiba
Chelsea is going to be a very great and successful team in Europe after Hazard exit, take my word
Tunaweza tusiwe great msimu huu lakini Ban ikiisha au ikiondolewa, haya majigambo uchwara tutayaweka kwenye bin

Shida iko wapi?
Au jambo likafanyika kwenye timu nyengine ni kawaida, Lakini kwenye timu yenu ndiyo gumzo?

Tulipomuuza Coutinho washabiki wa Chelsea walihamia kwenye Uzi wetu wiki mbili na kusema tutashuka daraja! Lakini kuuzwa Hazard na sisi kuhamia imeshakuwa Nongwa.
 
Uyo Sarah kaifunga Chelsea magoli miwili tu kwenye iyo misimu yake miwili sawa na Hazard kamanyanyasa Allison mara mbili ndan ya msimu huu ..acha kuleta mihemko apa.
Acha uongo wewe hazard kamfunga Allison mara mbili ndani ya msimu mmoja?
 
Juventus wanamtaka Emerson
Atletico Madrid wanamtaka kwa udi na uvumba Alonso, hao hawana nia njema na Chelsea ambayo tayari tuna pengo kubwa la Hazard. Kwa maoni yangu EMerson wala Alonso wasiruhusiwe kutoka, hatutakuwa na Left Back wazuri Zaidi ya hao
 
Being sanctioned itself has a negative impact on the [Chelsea] brand, not just through its effect on team performance.

Football 50 report May 2019
as-graphic-brand-football-10-strongest-teams-2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom