Willian kukubalika kwake yawezekana huwa anaroga yule jamaa
Willian ni bonge la garasa ila sina jibu kwa nini makocha huwa wanampenda
Nakudhamini Kinywaji popote ulipo nitalipia.
Willian kukubalika kwake yawezekana huwa anaroga yule jamaa
Willian ni bonge la garasa ila sina jibu kwa nini makocha huwa wanampenda
Hivi wao wanajua kwa nini Bodi inamung'ang'ania Willian, je wanajua Barcelona wameona nini kwa Willian kumfukuzia miaka miwili?
Je hawajui kwa nini kila kocha akija anamheshimu Willian?
Naamini huu msimu wa Lampard Willian atafanya vizuri kuliko misimu mingine yote kwa sababu naamini Lampard ataweko mfumo unaomfaa Willian
Willian is one of Chelsea Legend na ataonyesha hivyo msimu huu
Kufukuziwa na Barca haimaanishi ndio una uwezo mzuri. Hata Prince Boateng Amesajiliwa Barca
Hauna jicho la kuangalia mpira mkuu kama unaishia kumjudge winger kwa assists na goal pekee.
Moja ya quality kubwa anayo Willian kama winger ni uwezo wa kutengeneza chances. Yupo kati ya wachezaji bora kumi Ulaya ambao wametengeneza chances nyingi za kufunga magoli. Msimu wa 2018/2019 ana wastani wa 3.4 goals /90minutes. Hii ina maana kwamba ndani ya dakika 90 Willian anaweza kutengeneza nafasi tatu na zaidi za kufunga magoli. Hiki ni kiasi cha chances ambacho hakuna winger yeyote amekifikisha msimu uliopita. Alafu mtu anatokea anasema Willian ni garasaa!
In football, a winger is an attacking midfielder in a wide position. Wingers are usually players of great pace or dribbling ability so as to provide cut-backs or crosses from which strikers can score. Their main function is to support attack from the wings. Wingers do lots of high-speed running from defense to attack.
Winger akifunga magoli ni sawa, si hata mabeki wanafunga magoli! Ila kazi ya msingi ya winger imeelezwa hapo juu na wewe endelea kuwarank mawinga wako kwa idadi ya magoli na assists
Kwa kiwango kidogo kivipi mkuu?
LUKAKU, MARTIAL, MATA, RASHFORD, SANCHEZ sasa naomba unitajie Forwards zenu za maana
Juve mwaka wa ngapi haijachukua UCL?Hiyo Barca yenyewe mwaka wa tano huu bado haijachukua UCL
Acheni ushabiki wa ovyo wazee. Willian ni katika mizigo mibovu kabisa ya Chelsea. Jamaa hata goli 10 kwa msimu hajawahi fika. Assit 10 kwa msimu hajawahi fika. Ni bingwa wa kukosa nafasi za wazi hivi nyinyi hua mnaona nini?
As long as Chelsea watendelea kuwa na mtu kama Williun mbele mafanikio ya kudumu yasahaulike.
Sarri na Conte wote walishindwa kumpa namba ya kudumu kutokana na uwezo mbovu alionao. Kwa vile timu haina ooption nyengine ndio ameendelea kucheza tu.
Willian alikuwa analinganishwa na akina Martial, ndipo mjadara ulipoanzia
Juve mwaka wa ngapi haijachukua UCL?
Hao uliowataja unataka kuwashindanisha kwa kuwajua kwako au kwa takwimu?
Playing style different, don't you get the pointVipi kuhusu Sane, Mahrez, Richarlison, Hazard, Salah,Mane, Hyeung-min Son, Sanchez,Sterling ambao nao ni mawinga ila wanafunga goli zaidi ya 12 kila msimu ?
Playing style different, don't you get the point
Kuna forwards strikers na kuna forwards wingers/attacking midfielders sasa wewe unawazungumzia wa aina gani??Kuwarank kwa magoli wewe ndio unaleta hoja hii ili kutetea failure ya Willian kwenye end product kwa sababu ni mchezaji wa Chelsea yako wakati inajulikana wazi kabisa kuwa Forwards tunawahukumu kwa matokeo ya ushambuliaji(either goals or assists)
Unataka kusema kwamba magoli kwa Winga sio muhimu wakati hata viungo ambao ni non-DM tunawashambulia wasipotoa assists na kufunga kwenye chances and so how for a Forward in this case huyu Willian?
Hapa hapa kwenye thread hii hii ya Chelsea huwa mnadownplay Kovacic kuwa ana lack uwezo wa kushinda magoli sasa kati ya Kovacic na Willian nani ana jukumu kubwa la kufunga?
wewe au nyie mna mafanikio gani au unafiki kwenda mbele!Acheni ushabiki wa ovyo wazee. Willian ni katika mizigo mibovu kabisa ya Chelsea. Jamaa hata goli 10 kwa msimu hajawahi fika. Assit 10 kwa msimu hajawahi fika. Ni bingwa wa kukosa nafasi za wazi hivi nyinyi hua mnaona nini?
As long as Chelsea watendelea kuwa na mtu kama Williun mbele mafanikio ya kudumu yasahaulike.
Sarri na Conte wote walishindwa kumpa namba ya kudumu kutokana na uwezo mbovu alionao. Kwa vile timu haina ooption nyengine ndio ameendelea kucheza tu.
Kuna forwards strikers na kuna forwards wingers/attacking midfielders sasa wewe unawazungumzia wa aina gani??
Kwani winger huwa ni mfunga magoli? nimeeleza vizuri hapo juu, hata kama akifunga jukumu lake la msingi sio kufunga magoli. Hata Ramos amefunga magoli mengi kuliko kuliko mawinga wengi maarufu wa EPL wakati yeye ni defender tuKuwarank kwa magoli wewe ndio unaleta hoja hii ili kutetea failure ya Willian kwenye end product kwa sababu ni mchezaji wa Chelsea yako wakati inajulikana wazi kabisa kuwa Forwards tunawahukumu kwa matokeo ya ushambuliaji(either goals or assists)
Unataka kusema kwamba magoli kwa Winga sio muhimu wakati hata viungo ambao ni non-DM tunawashambulia wasipotoa assists na kufunga kwenye chances and so how for a Forward in this case huyu Willian?
Hapa hapa kwenye thread hii hii ya Chelsea huwa mnadownplay Kovacic kuwa ana lack uwezo wa kushinda magoli sasa kati ya Kovacic na Willian nani ana jukumu kubwa la kufunga?
wewe au nyie mna mafanikio gani au unafiki kwenda mbele!
Kitaalamu mawinger wote ni wide midfilders au similar job na attacking midfilders. Ktk football ya kisasa, mawingers wote ni sawa na attacking midfilders, left or right midfildersForward anakuaje attacking midfielder tena mzee?
Jiulize kwanza, au kawaulize wanaojua mpiraForward anakuaje attacking midfielder tena mzee?
Jiulize kwanza, au kawaulize wanaojua mpira