Sijajua kwanini mashabiki wa Chelsea wanamumchukulia poa pulisic wakati ni mchezaji mzuri Sana laiti mngekuwa mnangalia michuano za nchi zao zinazoendelea anachofanya pulisic huko msingemchukulia poa.Pulisic ni mchezaji mwenye skills,anauwezo wakukaba,ni pass master na pia anauwezo kucheza kwenye nafasi nyingi km no8,10,7 na 11.Hadi Sasa hivi ndio mchezaji anayeongoza kwa assist kwenye hii michuano yao ya bara la America ya Kati inayoendelea Ana assist 3 na goli 1 kwenye jumla ya mechi tatu na yeye ndio kampten wa USA.