Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naangalia upangaji wa kikosi wa Lampard katika mechi ya kirafiki na Bohemian naona anajaza viungo wengi katikati. Nahisi anaweza kutengeneza timu yenye viungo wengi na wazuri.

Kocha mkuu alikua midfield mzuri tu na pia kocha msaidizi alikua midfield mzuri pia. Hapo unategemea timu itakayotoka hapo itakuaje?View attachment 1150873

Hawa ndiyo vijana munaopiga kelele kuwa watumiwe katika kipindi hichi cha Transfer Ban?
 
Kipimo Cha kwanzaa lampard Leo katoa sare
Sijui wewe pre season unaanza kuziskia leo!?

Hizi mechi kwa kocha mpya huwa ni kwa ajili ya kupata timu ya kutumia msimu ujao. Kwa hiyo kila mtu atapewa nafasi. So cha msingi hapa kinakuwa ni who has potentials.
 
Hawa ndiyo vijana munaopiga kelele kuwa watumiwe katika kipindi hichi cha Transfer Ban?
Kuna watu ndo wametoka likizoni hawakucheza. Mason Mount, James Leece, Tammy Abraham wote hawa hujawaona kwa sababu ndo wametoka kuziwakilisha timu zao za taifa under 21. Hapo bado Odoi, Loftus Cheek na Christensen ambao wameshaanza kupata exposure EPL
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Pre-season haina maana?
Sijui wewe pre season unaanza kuziskia leo!?

Hizi mechi kwa kocha mpya huwa ni kwa ajili ya kupata timu ya kutumia msimu ujao. Kwa hiyo kila mtu atapewa nafasi. So cha msingi hapa kinakuwa ni who has potentials.
 
Hawa ndiyo vijana munaopiga kelele kuwa watumiwe katika kipindi hichi cha Transfer Ban?
Najua umeuliza ukijua jabisa ni kitu ambacho hakiwezekani. Labda nikwambie hapo nimeongelea upangaji wa kikosi na siyo wachezaji waliopangwa. Katika wote waliorudi kutoka kwenye mikopo yao na kutoka Academy watachukuliwa wachache tu kuwa backup ya kikosi kilichomaliza msimu uliopita. Atakua ni manager mshamba kutegemea kikosi kama hicho kikapiganie Super Cup na kina Fabinho na Milner. Kikosi hicho kikutane na Pep mwenye mashine za maana.
 
Before 2007 Winger hakuhesabiwa kuwa ni mfungaji (Ndiyomana Kina Beckham, Overmas na Ashley Young) walipendwa ingawa hawakuwa wafungaji hatari)!
Lakini baada ya kuibuka Mtu kama Arjen Robben na Ribery wakafanya Mapinduzi ya Wingers , Sasahivi Winger ni Mfungaji kimajukumu hasa!
Winger Cross umeshapitwa na Wakati kwani kupiga Cross sasahivi ni kazi ya FULLBACKS na sio winger tena.
Siku hizi Winger asiyefunga goli 20+ per season in all competitions huyo bado hajafikia vigezo vya Winger shindani. Refer Salah, Mane, Hazard, Mbappe, Neymar and co.

Mpira wa akina David Bekham wa winga kutia majaro haupo tena
 
Rejea post yako niliyoiquote uniambie ulimaanisha nini?
Nilimaanisha mechi kirafiki zipo kwa ajili ya kupima ubora wa wachezaji pamoja na kujaribu mfumo wa kiuchezaji. Hazipo kwa ajili ya kupima ubora wa kocha, rejea post ya niliye mquote. Mwenyewe alicomment kama mechi za majaribio ndio kipimo tosha kwa Lamps.
 
Arsenal bana, wapare kweli kweli, walitaka kuwasajili Hazard na Courtois bajeti ikawazuia ndiposa Chelsea wakaingiza pochi
Law admitted they desperately wanted to sign the duo, but couldn't – because of financial restrictions.
 
CHRISTIAN PULISIC will reportedly play in the number 10 role for Chelsea next season.
Lampard will use the American in the middle of the park to ensure he keeps current wingers Pedro and Willian on his side.
 
Jf naona mashabiki wehu wanatubeza wana Blues

Nawambia tujutane mwisho wa msimu

Mtatuona tumenyanyua kwapa na trophies yeyote sasa nyie endeleeni kupiga ramli
 
Mickey Mouse cup
Ndugu, huko kwenu mna mickey mouse cups ngapi? kama 40 hivi na wenzako walisota sana kuzipata hizo
mickey mouse cups
kwa hiyo msilete madharau wakati mnazitaka kwelikweli. Na mnazo mbili zinakuja na Klopp atatumia msuli kweli kweli kuzipata hizo mickey mouses
 
Hawa wachezaji tayari wameshachujwa kutoka kwenye kiukosi cha Lampard baada ya draw ya 1-1 na Bohemians. Kwa hiyo ama watauzwa au wataendelea kwenye mradi wa mkopo
  1. Lewis Baker,
  2. Izzy Brown,
  3. Lucas Piazon,
  4. Trevoh Chalobah,
  5. Dujon Sterling,
  6. Ike Ugbo,
  7. Conor Gallagher
  8. Marc Guehi.
 
Kuna kila dalili kwamba David Luiz atakuwa nahodha wa Chelsea kumreplace Garry Carhill akaendelea kusaidiwa na Azpi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom