Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea boss Frank Lampard makes Tottenham admission about Mauricio Pochettino

After all, despite not spending a penny between February 2018 and July 2019, Spurs still managed to stay inside the top four last season and reach the Champions League Final.
A huge admirer of Argentine Poch (right), new Blues boss Lampard believes Spurs have set a road map to glory for Chelsea to follow.
 
Willian kukubalika kwake yawezekana huwa anaroga yule jamaa

Willian ni bonge la garasa ila sina jibu kwa nini makocha huwa wanampenda
Defensively, Willian anakupa kitu ambacho mawinga wengi na hata attacking midfield hawawezi kukupa.
 
Kumbe shida yako ni magoli! soo blinded!
Huo ndio ushabiki wa kiupofu

Nimekuletea ushahidi hapa jinsi Willian alivyo Garasa na cha ajabu misimu saba hata assists hajafikisha assists 30 katika misimu yote hiyo

Unataka kutuambia kwamba Winga kazi yake ni nini?
 
Hauna jicho la kuangalia mpira mkuu kama unaishia kumjudge winger kwa assists na goal pekee.
Moja ya quality kubwa anayo Willian kama winger ni uwezo wa kutengeneza chances. Yupo kati ya wachezaji bora kumi Ulaya ambao wametengeneza chances nyingi za kufunga magoli. Msimu wa 2018/2019 ana wastani wa 3.4 goals /90minutes. Hii ina maana kwamba ndani ya dakika 90 Willian anaweza kutengeneza nafasi tatu na zaidi za kufunga magoli. Hiki ni kiasi cha chances ambacho hakuna winger yeyote amekifikisha msimu uliopita. Alafu mtu anatokea anasema Willian ni garasaa!
 
Aisee

Willian anawazidi Ozil, DeBruyne, Hazard na Maddison kucreate chances hahahahah

Mpo vizuri kulinda wachezaji wenu hata kama wanaharibu

Duh ! Eti mafanikio ya Winger sio assists na magoli hahahahah na tena winger wa 4-3-3 hahahahaha
 
Kwa nini willian anatafutwa na timu kubwa kama Barcelona
Pia ni kwanini Willian anapendwa na kila kocha
Na ni kwanini bodi na management ya Chelsea inamng'ang'ania?

Willian sio mfungaji mkubwa kama walivyo wingers wengine simply kwa sababu ya uchezaji wake ambao ni soo unique na ni nadra kupata kwa mawinga wengine.
  1. Moja ya alama au utofauti wa Willian ni uwezo wake wa kuingia ndani kupitia aidha midfields au pembeni mwa uwanja akisesereka na mpira mpaka amkute mfungaji au mwenzake.
  2. Mara nyingi anapenda kuingia ndani ya eneo la adui kupitia pembeni ili kutoa krosi au kwenda deep zaidi na kumpasia mfungaji na ndio maana hafungi magoli mara nyingi katika career yake
  3. Mara chache akicheza winger wa kulia hua haendi deep pembenmi huwa anarudi katikati ya boxi na kufunga magoli, tofauti na anavyofanya akicheza kushoto
  4. Kwa hiyo utaona kuwa Willian anafunga zaidi akicheza winger wa kulia ambako ilikuwa ni nafasi ya Hazard,
  5. Pia magoli mengi yametokana na free kicks kwani akiwa uwanjani free kicks taker kwa kila kocha ni willian.
  6. Ni kwanini Willian anafunga zaidi akiwa kulia? Willian anatumia mguu wa kulia kufunga zaidi kuliko ule wa kushoto (ktk magoli 28 aliyofunga, 24 kwa mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto)
  7. Akiwa kushoto yeye alikuwa ni mpishi tu tena mpishi mzuri na huo upishi ndio uliomjengea jina
Kuna forwards wengi walijipatia majina makubwa bila kufunga magoli mengi na sababu kuu ni aina ya uchezaji wao ambao ni nadra kupata kwingineko kama Zola, Kanu, David Silva wa Mancity hawakufunga magoli mengi lakini bado walikuwa ni wachezaji wenye majina makubwa
 
Huo ndio ushabiki wa kiupofu

Nimekuletea ushahidi hapa jinsi Willian alivyo Garasa na cha ajabu misimu saba hata assists hajafikisha assists 30 katika misimu yote hiyo

Unataka kutuambia kwamba Winga kazi yake ni nini?
In football, a winger is an attacking midfielder in a wide position. Wingers are usually players of great pace or dribbling ability so as to provide cut-backs or crosses from which strikers can score. Their main function is to support attack from the wings. Wingers do lots of high-speed running from defense to attack.

Winger akifunga magoli ni sawa, si hata mabeki wanafunga magoli! Ila kazi ya msingi ya winger imeelezwa hapo juu na wewe endelea kuwarank mawinga wako kwa idadi ya magoli na assists
 
Aisee

Willian anawazidi Ozil, DeBruyne, Hazard na Maddison kucreate chances hahahahah

Mpo vizuri kulinda wachezaji wenu hata kama wanaharibu

Duh ! Eti mafanikio ya Winger sio assists na magoli hahahahah na tena winger wa 4-3-3 hahahahaha
Unahitaji kujifunza kusoma comprehension.
 
Kwa nini willian anatafutwa na timu kubwa kama Barcelona
Pia ni kwanini Willian anapendwa na kila kocha
Na ni kwanini bodi na management ya Chelsea inamng'ang'ania?

Willian sio mfungaji mkubwa kama walivyo wingers wengine simply kwa sababu ya uchezaji wake ambao ni soo unique na ni nadra kupata kwa mawinga wengine.
  1. Moja ya alama au utofauti wa Willian ni uwezo wake wa kuingia ndani kupitia aidha midfields au pembeni mwa uwanja akisesereka na mpira mpaka amkute mfungaji au mwenzake.
  2. Mara nyingi anapenda kuingia ndani ya eneo la adui kupitia pembeni ili kutoa krosi au kwenda deep zaidi na kumpasia mfungaji na ndio maana hafungi magoli mara nyingi katika career yake
  3. Mara chache akicheza winger wa kulia hua haendi deep pembenmi huwa anarudi katikati ya boxi na kufunga magoli, tofauti na anavyofanya akicheza kushoto
  4. Kwa hiyo utaona kuwa Willian anafunga zaidi akicheza winger wa kulia ambako ilikuwa ni nafasi ya Hazard,
  5. Pia magoli mengi yametokana na free kicks kwani akiwa uwanjani free kicks taker kwa kila kocha ni willian.
  6. Ni kwanini Willian anafunga zaidi akiwa kulia? Willian anatumia mguu wa kulia kufunga zaidi kuliko ule wa kushoto (ktk magoli 28 aliyofunga, 24 kwa mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto)
  7. Akiwa kushoto yeye alikuwa ni mpishi tu tena mpishi mzuri na huo upishi ndio uliomjengea jina
Kuna forwards wengi walijipatia majina makubwa bila kufunga magoli mengi na sababu kuu ni aina ya uchezaji wao ambao ni nadra kupata kwingineko kama Zola, Kanu, David Silva wa Mancity hawakufunga magoli mengi lakini bado walikuwa ni wachezaji wenye majina makubwa
Umemjibu jamaa kisomi asipokuelewa jamaa Basi atakuwa na matatizo ya akili
 
Tujaribu historia kidogo juu ya Chelsea fc

Uwanja wa Stamford Bridge ulijengwa na kuanza kutumika mwaka 1877 (ukitumika zaidi kama uwanja wa riadha na mikutano inayofanana na riadha).

Miaka 29 baadae (1904), ulinunuliwa (pamoja na maeneo mengine yaliyozunguka) na mfanyabiashara Gus Mears kuugeuza kwa ajili ya soka.

Mears alijaribu kuuza eneo hilo kwa klabu ya Fulham, ambayo haikuwa na uwezo wa kuinunua...ndipo Mears alipoamua kuanzisha timu yake, ili itumie uwanja huo. Kinyume na timu nyingine ambazo huanzishwa kisha kutafuta uwanja baadae, Chelsea ilianzishwa (1905) na kina Mears tayari kukiwa na uwanja wa kuchezea. Uwanja huo hadi sasa unajulikana kama Stamford Bridge.

Kina Mears waliendelea kumiliki uwanja na timu hadi miaka ya 1970, walipoamua kuuboresha zaidi uwanja ili uweze kukaliwa na watazamaji 50,000. Baadhi ya marekebisho yalianza kufanyika, ila kufikia miaka ya 1975, upanuzi ulianza kulega kutokana na hali ya kifedha ya kina Mears na ndipo wamiliki wakaamua *kutenganisha timu na uwanja* kuwa vitega uchumi vinavyojitegemea.

Kufikia mwishoni mwa miaka ya sabini, kina Mears waliamua kuuza timu na kuuza uwanja (kila kimoja tofauti na kingine). Kwa kuwa timu ndiyo ilikuwa inajenga uwanja na ilikuwa na madeni mengi, Bwana Ken Bates alinunua *klabu* kwa bei ya kutupa ya £1 mwaka 1982.

Matajiri wengine wa real estate (Marler Estates), nao wakanunua uwanja separately.
Bwana Bates akawa na mapambano mengi ya kisheria kati yake na Marler Estates, ambayo yalidumu hadi 1990 ambapo mtikisiko wa real estate ulipopelekea Marler Estates kufilisika.
Bates akaweza kununua tena uwanja na kuunganisha tena na klabu kuwa kitu kimoja.

Kufikia 1996, Bates akaipeleka Chelsea Village (kumbuka ile holding company ambayo baadaye itakuja kubadilishwa na Abramovich kuwa Chelsea FC PLC) kwenye soko la hisa (AIM Stock Exchange).

Kufuatia hilo la kwenda sikoni, wapenzi wa Chelsea wakajiunda na kutengeneza kampuni (public company lakini isiyojiendesha kwa faida), inayoitwa CPO (Chelsea Pitch Owners), ambao walinunua hisa kwenye Chelsea Village PLC, kwa nia ya kuhakiksha klabu yao haifiki hali ya kufilisika kutakapopelekea kuuzwa kwa kiwanja chao tena (kama kina Mears walivyofanya kwa Marler Estate).

CPO ikanunua haki zote za uwanja, pamoja na jina la timu (Chelsea FC) kupitia mkopo wa £10m walioupata kutoka Chelsea Village PLC.

CPO wakaukodisha uwanja wa Stamford Bridge kwa timu ya Chelsea FC kwa miaka 199.
Kwa kuwa CPO pia ndio wamiliki wa jina la Chelsea FC, wakairuhusu timu itumie jina hilo kwa masharti kwamba, itacheza mechi zake zote za nyumbani kwenye uwanja wao (yaani Stamford Bridge).

*Iwapo timu itamua kuhama na kucheza mechi zake nje ya Stamford Bridge, itapoteza haki za kutumia jina la Chelsea FC*

Na iwapo watataka kuendelea kutumia jina hilo itawalazimu kupeleka maombi yao kwenye CPO ambayo itapiga kura na kupitishwa kwa zaidi ya 75% ya wamiliki wa CPO

CPO ikafanikiwa kuzalisha £1.5m kupitia mauzo ya hisa hadi kufikia 2011. Wakati fulani, John Terry ndiye alikua Rais wa CPO (sina hakika kama alimaliza muda wake au lah).
CPO ndiyo sehemu pekee rahisi ya washabiki kumiliki sehemu ya Chelsea na wanahimizwa kununua hisa kupitia CPO.

*Kama tunataka kum control mrusi na timu yetu, hapa ndio pa kuwekeza kwa nguvu*😂
Ndipo klabu ikatangaza nia ya kutanua Stamford Bridge ili ikaliwe na mashabiki 55,000.
Kutokana na miundo mbinu inayozunguka uwanja (njia za reli na barabara zinazozunguka uwanja), uwezekano wa kutanua uwanja pembani ukaonekana ni ndoto isiyowezekana.
Mwaka 2011, klabu ikatangaza nia ya kununua eneo la uwanja na uwanja (kutoka kwa CPO). Kikao cha CPO kilipokaa, kilikataa ombi la klabu la kuwauzia mali yake.

Hivyo klabu ilianza kutazama uwezekano mbadala wa kuhama darajani. Tukumbuke kama wangehama darajani bila ridhaa ya CPO, wangepoteza haki za kuitwa Chelea FC. Yaelekea Roman Abramovich alikuwa tayari kwa hilo mwaka 2012😫😫.

Kwa bahati nzuri, kituo cha kuzalisha umeme cha Battersea ambacho walipanga kukinunua na kukigeuza uwanja, hawakufanikiwa kukipata, kwani kilinunuliwa na wawekezaji wa Malasyia.

Kati ya mwaka 2012-14, klabu iifanya majaribio mengi sana ya kuhama kutoka darajani, kwa bahati nzuri yote yaligonga mwamba.

Ndipo wakaweka mkandarasi mwelekezi ambaye akagundua kwamba, upanuzi wa Stamford Bridge kufikia watu 60,000 ungewezekana.

Badala ya kutanua pembeni, mshauri mwelekezi huyo alishauri uwanja uchimbwe zaidi kwenda chini, ili majukwaa yaanzie chini zaidi na zile hoteli za bwana Bates zivunjwe ili kupata eneo zaidi.

Mchoro huo ukapitishwa na Mayor wa mji na juzi kizingiti cha mwisho (yule jirani aliyekuwa akidai atazibwa mwanga wa jua), alipoamuliwa kwamba atalipwa fidia na Fulham Council. Bado ana uwezo wa kukata rufaa, lakini hadi hapo, ndoto ya kupata uwanja mkubwa zaidi kwenye eneo lile lile, inaonekana kupata matumaini makubwa

Over
Na Rabbiel Mwasha
 
In football, a winger is an attacking midfielder in a wide position. Wingers are usually players of great pace or dribbling ability so as to provide cut-backs or crosses from which strikers can score. Their main function is to support attack from the wings. Wingers do lots of high-speed running from defense to attack.

Winger akifunga magoli ni sawa, si hata mabeki wanafunga magoli! Ila kazi ya msingi ya winger imeelezwa hapo juu na wewe endelea kuwarank mawinga wako kwa idadi ya magoli na assists
Vipi kuhusu Sane, Mahrez, Richarlison, Hazard, Salah,Mane, Hyeung-min Son, Sanchez,Sterling ambao nao ni mawinga ila wanafunga goli zaidi ya 12 kila msimu ?
 
Kwa nini willian anatafutwa na timu kubwa kama Barcelona
Pia ni kwanini Willian anapendwa na kila kocha
Na ni kwanini bodi na management ya Chelsea inamng'ang'ania?

Willian sio mfungaji mkubwa kama walivyo wingers wengine simply kwa sababu ya uchezaji wake ambao ni soo unique na ni nadra kupata kwa mawinga wengine.
  1. Moja ya alama au utofauti wa Willian ni uwezo wake wa kuingia ndani kupitia aidha midfields au pembeni mwa uwanja akisesereka na mpira mpaka amkute mfungaji au mwenzake.
  2. Mara nyingi anapenda kuingia ndani ya eneo la adui kupitia pembeni ili kutoa krosi au kwenda deep zaidi na kumpasia mfungaji na ndio maana hafungi magoli mara nyingi katika career yake
  3. Mara chache akicheza winger wa kulia hua haendi deep pembenmi huwa anarudi katikati ya boxi na kufunga magoli, tofauti na anavyofanya akicheza kushoto
  4. Kwa hiyo utaona kuwa Willian anafunga zaidi akicheza winger wa kulia ambako ilikuwa ni nafasi ya Hazard,
  5. Pia magoli mengi yametokana na free kicks kwani akiwa uwanjani free kicks taker kwa kila kocha ni willian.
  6. Ni kwanini Willian anafunga zaidi akiwa kulia? Willian anatumia mguu wa kulia kufunga zaidi kuliko ule wa kushoto (ktk magoli 28 aliyofunga, 24 kwa mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto)
  7. Akiwa kushoto yeye alikuwa ni mpishi tu tena mpishi mzuri na huo upishi ndio uliomjengea jina
Kuna forwards wengi walijipatia majina makubwa bila kufunga magoli mengi na sababu kuu ni aina ya uchezaji wao ambao ni nadra kupata kwingineko kama Zola, Kanu, David Silva wa Mancity hawakufunga magoli mengi lakini bado walikuwa ni wachezaji wenye majina makubwa
Hapa umenishawishi kwa hoja
 
In football, a winger is an attacking midfielder in a wide position. Wingers are usually players of great pace or dribbling ability so as to provide cut-backs or crosses from which strikers can score. Their main function is to support attack from the wings. Wingers do lots of high-speed running from defense to attack.

Winger akifunga magoli ni sawa, si hata mabeki wanafunga magoli! Ila kazi ya msingi ya winger imeelezwa hapo juu na wewe endelea kuwarank mawinga wako kwa idadi ya magoli na assists

Kuwarank kwa magoli wewe ndio unaleta hoja hii ili kutetea failure ya Willian kwenye end product kwa sababu ni mchezaji wa Chelsea yako wakati inajulikana wazi kabisa kuwa Forwards tunawahukumu kwa matokeo ya ushambuliaji(either goals or assists)

Unataka kusema kwamba magoli kwa Winga sio muhimu wakati hata viungo ambao ni non-DM tunawashambulia wasipotoa assists na kufunga kwenye chances and so how for a Forward in this case huyu Willian?

Hapa hapa kwenye thread hii hii ya Chelsea huwa mnadownplay Kovacic kuwa ana lack uwezo wa kushinda magoli sasa kati ya Kovacic na Willian nani ana jukumu kubwa la kufunga?
 
William ni fundi hujiulizi kwann makocha hata wa taifa Brazii huwa wanamuita Mara kwa mara jua kuwa yupo vizuri na anavitu adimu sana
 
Kama ni hivyo basi HENDERSON ni bonge la fundi kama Kante vile kwani hakuna hata kocha mmoja wa Liverpool asiyemchezesha, na Makocha wote wa Timu ya Taifa ya Uengereza lazima wamwite na wamchezeshe panga pangua.

Mkuu Luna wachezaji wana vizizi bhana!
 
Kumenoga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom