Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

naona mmekutana wenye maneno mengii wakuu, hongera siku hizi Aroon umejifunza kidogo football ni mchezo unaotegemea facts nyingi sana hasa mchezo wa fainali yoyote anashinda atakayeamka vizuri, atakayetumia nafasi pia atakayekuwa na bahati
Arsenal na Chelsea ni timu zilizofanana, wachezaji hawajitumi labda siku wakiamka vizuri. Kwa hiyo hiyo fainal atakayechukua ni yule aliyeamka vizuri. Wote wakiamka vizuri itakuwa shughuli
 
We ni Chelsea na hujui shida ya Chelsea mkuu?
Chelsea shida sio kocha wala kupanga team Bali hatuna mabeki wa kati viongozi na wala hatuna striker wa maana kwa sasa
Suluhisho kwa kuwa tumefungiwa basi warejee Zouma, tamy Abraham, na michy batshuay.
Kumbuka pia tuliwakosa watu muhimu Rudiger na Ngolo

Huo ni mtazamao wako mimi naona midle ya kudefence haipo
 
Arsenal na Chelsea ni timu zilizofanana, wachezaji hawajitumi labda siku wakiamka vizuri. Kwa hiyo hiyo fainal atakayechukua ni yule aliyeamka vizuri. Wote wakiamka vizuri itakuwa shughuli
sio wachezaji hawajitumi mifumo mibovu yao makocha wawili ni tatizo hawana comebacka hawwan plan b
 
Tatizo dogo la Zapacosta sio clinical kwenye crosses kama Emerson. Ndio tofauti ya Emerson na Alonso, Luiz pia kacheza vizuri sana ukiondoa ile blunder iliyozaa goli la kusawazisha. Katibua kama chances nne hivi za hao madogo bila kusahau lile goli la wazi dk ya 100
hahaha dah yaani baasi zappacosta ni mzuri kushambulia defence ni mpaka aamke poa
 
Kiufupi sarri amefanya kazi yake sawasawa, katutoa tulipokuwa msimu ukiopita katuleta tunapostahili kuwa, Chelsea sio team ya kukosa champions league hata Mara moja
Kama tumefungiwa usajili miaka miwili yote sioni maana yoyote ile, bodi ya usajili ya Chelsea ni jipu kubwa mno[emoji30]
 
Nimefurahi japo kishingo upande, fainali sitahitaji tena kuwa na presha kama hii, utanipatia matokeo tukijaliwa uzima[emoji16]
Sijawahi kuwa na pressure kubwa na mechi za Chelsea kama hii ya jana, angalau ushindi wa penalty umetupa faraja. Kepa is a wonderfull Keeper, akibakia Chelsea muda mrefu atakuja kuwa one of the legend
 
Siku
Japo Luiz alifanya kosa kwenye goli la kusawazisha lakini baadaye alikuja kujirekebisha na tactical move nyingi alizitibua yeye kabla ya kuzuia goli la wazi dk ya 100. Generally Luiz ni mzito na mipira ya counter attack haziwezi
Luiz ni mzito sana kiukweli
 
Tatizo dogo la Zapacosta sio clinical kwenye crosses kama Emerson. Ndio tofauti ya Emerson na Alonso, Luiz pia kacheza vizuri sana ukiondoa ile blunder iliyozaa goli la kusawazisha. Katibua kama chances nne hivi za hao madogo bila kusahau lile goli la wazi dk ya 100
Ermeson, Christensen na Azpilicueta wamenifurahisha sana kwa umahiri wao mechi ya jana
 
Plastic fan. Kocha ndo msimu wake wa kwanza, hakuwa na pre season na wachezaji, anatumia wachezaji aliwakuta na wengine hawafai aina ya falsafa ya mpira anaofundisha, ameshasajili Jogihno pekee, amesecure nafasi ya champions league, ameifikisha timu fainali ya Europa, amewezesha wachezaji watatu wa academy kuwa kwenye first 11 team ya Chelsea na hii haijawahi kutokea, amewaimprove wachezaji ... Hivi unataka nini zaidi? Guadiola msimu wake wa kwanza hata nafasi ya nne aliipata kwa mbinde. Msimu wake wa pili ndiyo aliamua kusafisha kikosi kizima na ndo tumeanza kuiona Man City hii ambayo ni tishio.Klop anafanikiwa baada ya misimu miwili tena kwa kutumia hela nyingi kwenye usajili kwenye msimu wake wa 3.

Be realistic man. Act like a person who has brain
Sijawahi kuwa na Imani na Sarri, frankfut wanatusumbua Chelsea daahh
 
Mda gani?

Kocha hajuagi umuhimu wa match huyu,hana plan yoyote mbinu zake ni zile zilw, approach za game ni zile zile yani bora hata mchezaji ajitolee kuwa kocha sio huyo punguani
Kocha hawezi kuwa hana plan akasecure third position, akaifikisha timu kwenye fainali Europa katika msimu wake wa kwanza. Kumbuka Man U, Arsenal walipo. Dont be plastic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom