Plastic fan. Kocha ndo msimu wake wa kwanza, hakuwa na pre season na wachezaji, anatumia wachezaji aliwakuta na wengine hawafai aina ya falsafa ya mpira anaofundisha, ameshasajili Jogihno pekee, amesecure nafasi ya champions league, ameifikisha timu fainali ya Europa, amewezesha wachezaji watatu wa academy kuwa kwenye first 11 team ya Chelsea na hii haijawahi kutokea, amewaimprove wachezaji ... Hivi unataka nini zaidi? Guadiola msimu wake wa kwanza hata nafasi ya nne aliipata kwa mbinde. Msimu wake wa pili ndiyo aliamua kusafisha kikosi kizima na ndo tumeanza kuiona Man City hii ambayo ni tishio.Klop anafanikiwa baada ya misimu miwili tena kwa kutumia hela nyingi kwenye usajili kwenye msimu wake wa 3.
Be realistic man. Act like a person who has brain