Sare yoyote kwa Sasa wako nje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahaha pambaneni mnaweza kupenya
No zinaongezwa dakika wakitoka moja mojaSare yoyote kwa Sasa wako nje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Chelsea fans hamna shukrani. Nyie c 3 kweny ligi na next sizoni mnatoka yuropa mnahamia ucl na kombe mnaeza beba! Mpo pazuri coz ya kochaSijawahi kuwa na Imani na Sarri, frankfut wanatusumbua Chelsea daahh
Chelsea fans hamna shukrani. Nyie c 3 kweny ligi na next sizoni mnatoka yuropa mnahamia ucl na kombe mnaeza beba! Mpo pazuri coz ya kocha
Yanga inakuvurugaYan unatamani hata uliendee nyumban kwake ulifunge kamba ulitandike viboko usiku kucha....
Shida nin mkuu? Cha muhimu tuzidi kumuamin kocha..tumpe muda zaidiYan unatamani hata uliendee nyumban kwake ulifunge kamba ulitandike viboko usiku kucha....
Huyu kocha ni makuu
Mda gani?Shida nin mkuu? Cha muhimu tuzidi kumuamin kocha..tumpe muda zaidi
😂😂😂 mkuu poleee..ume-mind sana....kwasaiv haiwezekani Odoi awe kocha. Na vile tena Mmiliki hatoi sauti saiv, lazima timu itifuane kuliko united ilivyMda gani?
Kocha hajuagi umuhimu wa match huyu,hana plan yoyote mbinu zake ni zile zilw, approach za game ni zile zile yani bora hata mchezaji ajitolee kuwa kocha sio huyo punguani
Chelsea naona nyuso za wachezaji wenu na kocha wenu zimejaa wasiwasi.