Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_5013.JPG
 
Kwa maoni yangu
Azpilicueta anahitaji backup sio replacement, RJ anaweza kuwa backup yake.
Azpilicueta anachoka sana kwa sababu anacheza bila kupumzika, rekodi zinaonyesha kuwa
Azpilicueta is one of the best RB in EPL, kudrop form ni kawaida hasa kwa mchezaji asiyepumzishwa., Bakayoko not fitted at all in English footaball, wache aendelee kufanya vizuri huko Roma. Kuhusu Jorginho kama ban itaendelea kuwepo, Kovacic anaweza kabisa kuimudu hiyo nafasi na amashafanya hivyo kwa baadhi ya mechi. Backup wa RLC na Kante ni muhimu kwa ajili ya majeruhi na kupumzisha. Kama Odoi atasisitiza kuondoka huyu jamaa anayeitwa
Ryan Fraser ni mzuri sana kwa winger wa kushoto au attacking MF wa kushoto. Kule mbele mkopo wa Higuaín uongezwe naona msimu ujao atakuwa ameijulia EPL ila kama ban itaondolewa tunahitaji strikers wa kaliba ya Drogba na Diego Costa.
Mkuu ban imekataliwa kwa hiyo hatutasajili. Higuain siyo striker wa kumtegemea ukidhani atakua keshapata experience. Hakuna namna zaidi ya kumrudisha Tammy au Batshuayi. Halafu ni kweli Azpi anahitaji backup kwa hiyo RJ ni chaguo sahihi na kwa sasa tunahitaji sana kutumia academy graduates ili tujifunze vizuri.

Sijui kwa nini bado hamumuamin Bakayoko kwa sababu kwa jinsi alivyo sasa naona anafit sana kuwa backup ya Jorginho.
 
Bakayoko?
 
hivi hii ban itawahisisha na wale wachezaji tuliowachukua kwa mkopo mfano Kovacic, tunaweza wasajili tena?
 
Vikosi vimetangazwa tayari. So far kwa upande wetu naona kikosi ni kizuri ila bado nina mashaka kule nyuma kunaweza ruhusu magoli.

Kante & Rudiger majeruhi.
 
Mbn uvivu mwingi humu? Mtupe updates ya mech yenu. Mnatakiwa mcheze na jiran wakat cc tunajipanga na europa next sizoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom