Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna uwezekano timu za London zote zikachukua UEFA na Europa tittles mwaka huu

Baada ya Kushindwa Kwa Bayern na Barcelona mumeamua kuhamia kwa Spurs?
Washabiki wa Chelsea bhana! Wameshampa ubingwa Spurs kwa Kumfunga Ajax, lakini aliyemfunga Barcelona hawampi ubingwa.
 
Swala la kubadili wachezaji yanatemeana na unacheza mashindano gani, unatafuta ushindi kwa kurisk au unalinda ushindi wako lakini kikubwa ni character za wachezaji. Mfano character ya Luiz inamruhusu kucheza midfield ila siyo Rudiger.
Sarri ni kocha mzuri kwenye formation ila mbinu ni ziro X1000. Njia rahisi ya kujua kama kocha ana mbinu
  1. Angalia wanvyorespond baada ya kufungwa
  2. Angalia wanavyoaprocha game baada ya kupoteza mechi ya kwanza na timu ile ile
  3. Angalia wanavyocheza na timu tofauti, mtindo ule ule
  4. Angalia sub zinavyopfanyika, PREDITABLE -PREDICTABLE, hakuna hata siku moja unamuona sari anamto winger na kumuweka MF au defender au striker na kumuweka MF. kaifanya jana tu kumtoa Andreas na kumuweka Zapa nafasi ya Azpi na Azpit kurudi katikati nafasi ya Andreas ila jhiyo haikuwa mbinu bali kalazimishwa kwa sababu ya majeruhi na hakukuwa na mbadala
  5. Anachojitahidi Sarri ni kumotivate wachezaji kucheza vile vile siku zote kitu ambacho ni ngumu sana kuzaa matunda.
  6. Ukweli ni kwamba kama sio wachezaji wenyewe wameamua kuacha mgomo baridi wa Dectimu isingeingia top 4, wachezaji walishamchoka kwa sababu hawasikilizi wachezaji na ni rigid coach. December -Feb - Hata ile incident ya Kepa kugoma ni matokeo ya wachezaji kutomtii kocha kwa sababu they do not trust him
 
Lakini namuamini Sarri katika kutengeneza wachezaji kwa gharama ndogo. Napoli ilijengwa na Sarri kwa pesa kidogo tafauti na timu nyingine zinavyofanya
Kutengeneza timu inahitaji uvumilivu kitu ambacho Chelsea hawana ukizingua misimu miwili unafukuzwa, tungekua tunastick na kocha mmoja angalau misimi mitatu minne ungekuta tuna kikosi kizuri sana, sasa karibia kila msimu tunabadili kocha yeye anakuja na plan zake anaanza kufumua tena kikosi upya, hii ndio naona inaturudisha nyuma
 
Maoni yangu, squad ya Chelsea 2019/20 itafanania hivi
Assumptions
  • Ban haitaondolewa​
  • Hazard ataondoka​
  • Giroud na Higain watakuwa offloaded​
  • Zapacosta atatolewa mkopo​
  • Drink water atauzwa​
  • NK​

  1. Kepa Arrizabalaga/Willy Caballero (GK)
  2. Reece James/ Cesar Azpilicueta (LB)
  3. Antonio Rudiger/
    Andreas Christiansen
    (CB-right)
  4. Kurt Happy Zouma
    /David Luiz (CB left)
  5. Marcos Alonso/Emerson Palmieri dos Santos (LB)
  6. N’Golo Kante - (AMF - Right)
  7. Jorge Luiz Frello Filho(Jorginho)/Mateo Kovačić (CMF)
  8. Ruben Loftus-Cheek/Ross Barkley
    - (AMF - Left)
  9. Christian Pulisic/Pedro Eliezer Rodríguez Ledesma (RW)
  10. Tammy Abraham/Michy Batshuayi (Striker)
  11. Willian Borges da Silva/Callum Hudson-Odoi (LW)

Ingependeza sana kocha angejaribu 4-2-3-1.

Kati wacheze Jorginho na Kante.

4-3-3 itumike mara chache chache...
 
Kutengeneza timu inahitaji uvumilivu kitu ambacho Chelsea hawana ukizingua misimu miwili unafukuzwa, tungekua tunastick na kocha mmoja angalau misimi mitatu minne ungekuta tuna kikosi kizuri sana, sasa karibia kila msimu tunabadili kocha yeye anakuja na plan zake anaanza kufumua tena kikosi upya, hii ndio naona inaturudisha nyuma
Ni kweli lakini nahisi swala la kufungiwa kusajili bodi ililiona mapema ndiyo maana wakaamua kumtafuta kocha anayeweza kujenga kikosi kwa bei ndogo. Lakini pia kumbuka tuna talents nyingi kwenye mikopo, tulichokuwa tunakosa ni namna ya kuwalink kwa first timu na hii imetusababisha kuwapoteza akina Salah, Debruyne, Ake, Thorgan na wengineo. Kwa aina ya ufundishaji wa Sarri atatufaa kwenye kipindi hiki.
 
Mambo ya Halisi yapo kwenu huko, huku ni kuchambua kabumbu kwa hoja. Nani hayaogopi majogoo[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huwezi kumtetea huyo zari boss lady....alikua kwenye position nzur yakubeba vikombe vitatu ila umama wake umetugharimu, kwanza kauww kabisa kiwango cha mkata umeme wa dunia
 
Kama hauoni kazi aliyoifanya Kante msimu huu basi nyaya zako kichwani zinagusana
Huwezi kumtetea huyo zari boss lady....alikua kwenye position nzur yakubeba vikombe vitatu ila umama wake umetugharimu, kwanza kauww kabisa kiwango cha mkata umeme wa dunia
 
Swala la kubadili wachezaji yanatemeana na unacheza mashindano gani, unatafuta ushindi kwa kurisk au unalinda ushindi wako lakini kikubwa ni character za wachezaji. Mfano character ya Luiz inamruhusu kucheza midfield ila siyo Rudiger.
Sikuwa na maana hiyo kabisa, Sikumaanisha Luiz umfanye kuwa MF.
nilitarget kwenye tactics za mchezo kulingana na unavyocheza na oponent. Kumtoa striker na kumuweka MF mfano maana yake unalenga kuimarisha katikati. Kumtoa beki an kumuweka striker maana yake unataka kuimarisha mashambulizi Zaidi na kila badiliko linalenga certain achievement. Na mabadiliko kama haya yanachange kabisa formation ya mchezo. PEP ndiye nimemwona akifanya hivi na matechnician wengine kama akina Banitez.
 
Yule sarri unaweza kukuta yupo nyuma goli mbili..akamtoa striker akaingiza beki, akili zimejaa moshi na mpira wake wa secondary
 
Shida unaongea kiutoto sana. Hivi ni lini Chelsea ilikuwa nyuma hata kwa goli moja akatolewa striker na kuingizwa Defender?
Yule sarri unaweza kukuta yupo nyuma goli mbili..akamtoa striker akaingiza beki, akili zimejaa moshi na mpira wake wa secondary
 
Sikuwa na maana hiyo kabisa, Sikumaanisha Luiz umfanye kuwa MF.
nilitarget kwenye tactics za mchezo kulingana na unavyocheza na oponent. Kumtoa striker na kumuweka MF mfano maana yake unalenga kuimarisha katikati. Kumtoa beki an kumuweka striker maana yake unataka kuimarisha mashambulizi Zaidi na kila badiliko linalenga certain achievement. Na mabadiliko kama haya yanachange kabisa formation ya mchezo. PEP ndiye nimemwona akifanya hivi na matechnician wengine kama akina Banitez.
Nafikiri kinachomatter zaidi ni matokeo na mafanikio. It is his first season in EPL. We will see. Japo siamini kwamba njia anazotumia fulani ndo inabidi uziangalizie na kufanya hizo hizo ili ushinde.
 
Kama tumefungiwa usajili miaka miwili yote sioni maana yoyote ile, bodi ya usajili ya Chelsea ni jipu kubwa mno[emoji30]
Una uhakika na unachosema kuhusu kufungiwa? Mmepewa ruhusa ya kusajili wachezaji wenye umri usiozid miaka 16 tuu basi. Above that, hamsajili na siyo miaka miwil kama ulivyosema. Forethought iliyoko ni kuwa, mjikusanye toka pande zote kama kikosi kitapukutika chote
 
Maoni yangu, squad ya Chelsea 2019/20 itafanania hivi
Assumptions
  • Ban haitaondolewa​
  • Hazard ataondoka​
  • Giroud na Higain watakuwa offloaded​
  • Zapacosta atatolewa mkopo​
  • Drink water atauzwa​
  • NK​

  1. Kepa Arrizabalaga/Willy Caballero (GK)
  2. Reece James/ Cesar Azpilicueta (LB)
  3. Antonio Rudiger/Andreas Christiansen
    (CB-right)
  4. Kurt Happy Zouma/David Luiz (CB left)
  5. Marcos Alonso/Emerson Palmieri dos Santos (LB)
  6. N’Golo Kante - (AMF - Right)
  7. Jorge Luiz Frello Filho(Jorginho)/Mateo Kovačić (CMF)
  8. Ruben Loftus-Cheek/Ross Barkley - (AMF - Left)
  9. Christian Pulisic/Pedro Eliezer Rodríguez Ledesma (RW)
  10. Tammy Abraham/Michy Batshuayi (Striker)
  11. Willian Borges da Silva/Callum Hudson-Odoi (LW)
Reece anacheza pia MF
 
Sari hajawahi kubadili huo mfumo tangu aje darajani, Pep hata Pochetinho huwa wanajulikana vzr sn formation wanazotumia lkn si kwamba huwa hawabadiliki kwa kila mechi kama Sariball

Mkuu wewe haja yako ni kua timu iwe ina ParkBus. dah Mourinho amekuathiri sana mkuu
 
Sarri ni kocha mzuri kwenye formation ila mbinu ni ziro X1000. Njia rahisi ya kujua kama kocha ana mbinu
  1. Angalia wanvyorespond baada ya kufungwa
  2. Angalia wanavyoaproach game baada ya kupoteza mechi ya kwanza na timu ile ile
  3. Angalia wanavyocheza na timu tofauti, mtindo ule ule
  4. Angalia sub zinavyopfanyika, PREDITABLE -PREDICTABLE, hakuna hata siku moja unamuona sari anamto winger na kumuweka MF au defender au striker na kumuweka MF. kaifanya jana tu kumtoa Andreas na kumuweka Zapa nafasi ya Azpi na Azpit kurudi katikati nafasi ya Andreas ila jhiyo haikuwa mbinu bali kalazimishwa kwa sababu ya majeruhi na hakukuwa na mbadala
  5. Anachojitahidi Sarri ni kumotivate wachezaji kucheza vile vile siku zote kitu ambacho ni ngumu sana kuzaa matunda.
  6. Ukweli ni kwamba kama sio wachezaji wenyewe wameamua kuacha mgomo baridi wa Dectimu isingeingia top 4, wachezaji walishamchoka kwa sababu hawasikilizi wachezaji na ni rigid coach. December -Feb - Hata ile incident ya Kepa kugoma ni matokeo ya wachezaji kutomtii kocha kwa sababu they do not trust him

Sasa hilo ni tatizo la Sarri au Wachezaji? Hebu Jiulize ni kocha wa ngapi ambaye umegomewa na wachezaji pale chelsea? bado mnashindwa kuliona tatizo?
 
Messi tofauti na Auba & Laca...

Messi ni Jogoo la Shamba haliwiki Mjini, linawika likiwa Camp Nuo tu ambako anaweza kukuchakaza.

Lakini Likitoka Spain na Kukanyaga Uengereza linageuka Mtetea.

But Auba na Laca ni Majogoo ya Kisela yanawika popote pale kama ulivyoona Jana.

Yani hawa wamekukosa basi ni 3

Aisee!!! Upo Bar gani mkuu? mana si kwa matapishi hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom