Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea ina wachezaji mahiri kibao, cjui nani aliyetoa wazo la kumleta huyo kocha darajani.

Haya ss kashachafua CV ya UK kuingiza timu 4 fainali[emoji30]
Man you talk too much. Better behave urself.

Hii ni nusu fainali lazima timu pinzani ionyeshe changamoto siyo kazi rahisi mkuu. Pia timu ina majeruhi kwa hiyo kikosi kinabadilika kidogo pamoja matatizo yanafahamika siyo game ya leo ndio iwe sehemu ya kukosoa mpaka iwe kero sasa, na hivyo bado hujafurahia tumeingia fainali.?
 
Come On Blues.. [emoji123][emoji123][emoji123]
Ushindi wa leo ulikuwa ni muhimu ila hawa madogo wa FrunkFart ni hatari aise ...heko nyingi kwa Loftus, Jorgihno leo kapambna sana ..Zappacosta sioni sabbu ya kuwekwa bench ...Emerson ametisha sana ....Kepaaaaaaaaa the next goalkeeper in world ..asante nyingi ziende kwake....hàhahahahaa

Luiz anaeza kuwa Legendary pekee atakayebaki Stamford endapo Eden ataondoka. Ametisha sana...

Kiujumli timu nzima imepambana vya kutosha.

Tunastahili kubeba hili kombe...KTBFTFH
 
Nawaambiaga siku zote kuwa Sariball inatukosti sana Chelsea, haya ss dkk 120 hizo cjui kwanini Ollachuga anajifanyaga ana makengeza kuhusu hili
Mkuu sarri ametutoa nafasi ya tano uko tuliyomaliza msimu uliopita hadi sasa tuko na uhakika wa nafasi ya tatu ...huoni ni impruvumenti kubwa tu kafanya? Timu iko fainali Europa na uhakika wa kubeba tunao sasa utake nini kwa sarri. Kwanza ndo msimu wake wa kwanza ..hata Pep alifeli vibaya msimu wa kwanza ..Klopp Naye hivyo hivyo..mimi naamini tuna timu nzuri tu ya kufanya vizuri apo mbeleni ...japo Sarri kuna muda anakoroga na zile sub zake ila ni kocha mzuri tu ...
 
Yan nilichoona kuna watu waliwachukulia poa hawa wajerumani so wakategemea ushindi ni wa mapema tu. Teh.. Wengine hawaangalii wanaangalia matukio basi ndio maana wanakuja na comment uchwara.

Kwa Chelsea hii na ubovu wake isingekua rahisi kushinda mapema au kupata ushindi kirahisi, tuna uhitaji mkubwa wa striker na beki wa kati solid. Bila hivyo tutaumia sana. Hata hiyo fainali 29/05 itakua ngumu sana. Tuzidi kuomba tusipate majeruhi zaidi sisi ndio tuna nafasi kubwa kulichukua kombe hili.
 
Wewe jamaa unanifurahisha ,weka akiba ya maneno ,
naona mmekutana wenye maneno mengii wakuu, hongera siku hizi Aroon umejifunza kidogo football ni mchezo unaotegemea facts nyingi sana hasa mchezo wa fainali yoyote anashinda atakayeamka vizuri, atakayetumia nafasi pia atakayekuwa na bahati
 
Yan nilichoona kuna watu waliwachukulia poa hawa wajerumani so wakategemea ushindi ni wa mapema tu. Teh.. Wengine hawaangalii wanaangalia matukio basi ndio maana wanakuja na comment uchwara.

Kwa Chelsea hii na ubovu wake isingekua rahisi kushinda mapema au kupata ushindi kirahisi, tuna uhitaji mkubwa wa striker na beki wa kati solid. Bila hivyo tutaumia sana. Hata hiyo fainali 29/05 itakua ngumu sana. Tuzidi kuomba tusipate majeruhi zaidi sisi ndio tuna nafasi kubwa kulichukua kombe hili.
Kiukweli we are not doing good enough mabadiliko ya jorgihno nayaona mzee baba kaanza kubadilika, kiufupi sehemu tuliyoimara ni midfield tu, forward tunaye mmoja hazard tu, team yetu inayo matobo mengi lakini mchezo wa fainali unabaki kuwa fainali, tujipongeze kuingia fainali
 
Mkuu ni kweli kabisa unachosema matobo ni mengi sana pale kati kidogo pametulua ila mbele na nyuma ni uozo mtupu. Halafu pamoja na mapungufu yetu mengi tuliyonayo na hata Arsenal ilivyo vizuri vile hasa washambuliaji wake lakini mi naona tuna asilimia kubwa kuchukua hili kombe.
 
Bado match ya jana ilituonyesha kabisa, Chelsea tunahitaji beki ya kati mwenye nguvu na mshambuliaji mwenye nguvu

Naungana na wanaosema kwa kuwa tumefungiwa vipindi viwili vya usajili, basi Kurt Zouma arejee, Tammy Abraham au Michy batshuay warejee kusaidia hivi vitengo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom