milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Kakosaaa
Mda gani?
Kocha hajuagi umuhimu wa match huyu,hana plan yoyote mbinu zake ni zile zilw, approach za game ni zile zile yani bora hata mchezaji ajitolee kuwa kocha sio huyo punguani
Kakosaaa
Hata sijisumbui kuangalia penati maana nawaamini Wajerumani wako vzr sana kupiga penati kuliko Chelsea[emoji30]
Hamna kaka lolote linaweza kutokea
Tumepita kwa mbindeeBado tu wanacheza penati?
Chelsea wins penalty 4-3Bado tu wanacheza penati?
Hyo fainali hata sito angalia labda zola apa ge kikosi...auba na lacca mmmmmh
Ndio football ilivyo, hawa frankufurt wamekomaa kweliTumepita kwa mbindee
Hii gemu imenipa presure mwanzo mwisho ila si haba fainali tumeenda kwa penalti
Kepa ndie shujaa wetu kapangua penalty mbili
Hapana mkuu aliiona yeye akabana miguu mpira ukanata. Ukiangalia replay kuttoka nyuma ya goli inaonyesha vizuri kwamba Kepa aliuona huo mpira unakuja katikati ya miguu yake akabana off course alibahatisha kwa sababu mpira ulikuwa kwenye kasi ila penalty zote hua inaokolewa kwa kubahatishaIle moja imedondokea miguuni mpaka akabaki anashangaa!