Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

tukutane baada ya Dakika tisini, matokeo yataamua nani abebe ubingwa kati ya Liverpool na Man city. Sisi tunachojua ni Bendera ya looserfool kupepea nusu mlingoti pale Anfield

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ollachuga.................Huu utaratibu wa kujichukulia maamuzi ya kujipiga BAN mwenyewe umeyatoa wapi Mkuu ..........Njoo tukutane sasa Dk 90 zimeshaisha
 
Cheltako hamna washabiki kwel mbona mnakimbiaga nyuzi yenu aisee


13SEPTEMBER
 
Jana tulifungwa na team yenye bahati pia kutokuanza na namba tisa natural ilitufanya tusifurahie mambo adhimu ya Hazard
 
Jana tulifungwa na team yenye bahati pia kutokuanza na namba tisa natural ilitufanya tusifurahie mambo adhimu ya Hazard
Bournemouth aliyekupiga bao 4 nae pia msimu huu ana bahati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom