talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Msaada tafadhari fanya kustream ili niucheki maana nipo kazini hapa.Nilitaka kustream hii match ila nishaanza kupata mashaka na matokeo tutakayo pata. Daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada tafadhari fanya kustream ili niucheki maana nipo kazini hapa.Nilitaka kustream hii match ila nishaanza kupata mashaka na matokeo tutakayo pata. Daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah nasubiri nami link
Tulizeni vijambio nyie. Hawa siyo Ipswich town wala BHA.
Mbona mnashambiliwa tu na haka ka underdog
Mtafika fainal kwel
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Wewe leta kauli chafu, ngoja ugongwe kimoko akili itakukaa sawa
Mbona mnashambiliwa tu na haka ka underdog
Mtafika fainal kwel
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kuhama.???? Uende wapi labda uhamie DERPOTIVO MANGULA
Teh.. Sawa mkuu nhoja tusubiriIjumapili Mtapata kipigo mpaka mtachakaa
Kwa mpira huu ndio mchomoke ANFIELD
Shida chelsea sigara nyingi....mnapata ushindi wa kuunga unga sana
Siku hizi kidogo adabu inaanza kurejea. Tuna unga unga ndio lakin angalia kikosi kilichopo. Naweza kuja kuharibu hali ya hewa at ur own backyard. Only time will say.Shida chelsea sigara nyingi....mnapata ushindi wa kuunga unga sana
We hapo unawaza mikeka yako tu. Sisi hatunaga kelele kama nyieHiv nyie chelsea tatizo ni nini humu? Alonso kafunga goli lakin bado mmefubaaa