lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,036
Lakini clixus tulikuwa kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Slavia nadhani, sio LiverpoolMkuu umesema kweli na kama sio Pedro angechezesha pemben hazard na willian na kat forward higuain au giroud koz ni warefu wangeweza msumbua zaidi beki kisiki wao wa kati Liverpool VVD.