Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jana tulifungwa na team yenye bahati pia kutokuanza na namba tisa natural ilitufanya tusifurahie mambo adhimu ya Hazard
Kabisa yani hili la kumchezesha hazard kama false 9 niliona toka mwanzo litatucost, kuna baadhi ya game huwa huu mfumo unafaa ila kwa game ngum kama ya jana striker alikua anahitajika
 
Cc:Ollachuga Oc
Cc:Eden kimario
Nisaidieni kuwatag wengine maana ndugu wa marehemu wanasubiriwa shughuli za mazishi zianze...
Chuga mpaka kesho ndio ataonekana maana tuna kikao nae kwa ajili ya kufanikisha barca aende semi final, kwasasa muache apumzike

Yohana 3:16
 
Kabisa yani hili la kumchezesha hazard kama false 9 niliona toka mwanzo litatucost, kuna baadhi ya game huwa huu mfumo unafaa ila kwa game ngum kama ya jana striker alikua anahitajika
Mkuu we acha tu. Nilitoa koment baada ya kuona line up kwenye group letu fulani la WhatsApp niliambulia matausi na kejeli kibao, Mara huo mfumo ndiyo alitumia kumfunga man City. Nikawaambia Hazard Sasa ivi yupo kwenye form Ni mzuri akicheza free football. Yaani akicheza nafasi yake anakuwa na positive impact kwa mpinzani

Na ushauri wangu ulionekana wa maana baada ya Huiguan KUINGIA kipindi Cha pili. Naaamni kabisa Sarri mafegi angeanza na striker angemaliza game kipindi Cha Kwanza.
But all in all ndiyo mchezo ulivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ange anza huyu ‘Lizard’ wenu mapema ndiyo Liverpool angefungwa Anfield na Chelsea hii ya akina Luiz?

Jamani acheni kujidanganya,hata Man City,Bayern,Barca,Juve,PSG,Madrid hawawezi mfunga Liverpool huyu Anfield

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
UNAMCHUKIA WILLIAN BAADA YA UWEPO WA ODII BINADAMU HATUNA SHUKRANI
Read first wapi nimemdisqualify Willian. Kwa taarifa yako mimi ni admirer mkubwa wa Willian hata siku akiwa kwenye bad form siwezi kumsema vibaya. Willian kwangu ni one of Chelsea legend. kama umefuatilia mada yangu tangu mwanzo nilikuwa nazungumzia kiwango cha Pedro na kama ile nafasi ya Pedro angecheza Odoi kungechangamka!!!!!!!!!!!!!
 
Wapendwa wa Chelsea, tusikate tamaa, neema yaja tena kubwa tu. Bahati haikuwa yetu, tulipata nafasi tatu za wazi, mbili za Hazard na moja ya Higuaín lakini zilipotea kwenye thin air. Kwa game plan ya Sarri juzi hakukuwa na haja ya Jourginho kucheza Central MF wakati walijiandaa kupaki mabasi. Angecheza Kante pale angeweza kucotrol mcheza zaidi ya Jourginho. Bado nasema siku Sari akitimuliwa ndio ushindi wetu mkubwa kuliko kubeba EPL au UEFA.
 
Chelsea for sale
Three bidders from US, Asia and UK are targeting to buy the club from Russian billionaire. Roman Abramovich acquired Chelsea in 2003 for £140 million from Ken Bates, who had in 1982 purchased it for a paltry sum of £1 (and thereby made a £17 million profit). The current price tag stand at 2.5bn Sterling Pound. This amount is equal to TZS. 7.5 trillion

Karibuni wawekezaji, ila msije mkaigeuza kuwa kama Sunderland
 
Ken Bates, 1982 purchased it for a paltry sum of £1.
Sold it for £140 million in 2003.
Made a £17 million profit.
Any additional info or correction to this?
 
Ken Bates, 1982 purchased it for a paltry sum of £1.
Sold it for £140 million in 2003.
Made a £17 million profit.
Any additional info or correction to this?
Correction may be 17 million pound is a net profit after deducting depts. Remember most big clubs has depts. merely equal to half of their net-worth value so likely Chelsea sold at 140 while depts. are at around 123million pound. Just like currently Chelsea is on sale at 2.5bn pound while depts. are at 1.17bn pound. that means if sold at 2.5bn, the net profit will be 2.5bn-140mil-1.17bn pounds= appx 1.19bn pounds
 
Mkuu umesema kweli na kama sio Pedro angechezesha pemben hazard na willian na kat forward higuain au giroud koz ni warefu wangeweza msumbua zaidi beki kisiki wao wa kati Liverpool VVD.
Read first wapi nimemdisqualify Willian. Kwa taarifa yako mimi ni admirer mkubwa wa Willian hata siku akiwa kwenye bad form siwezi kumsema vibaya. Willian kwangu ni one of Chelsea legend. kama umefuatilia mada yangu tangu mwanzo nilikuwa nazungumzia kiwango cha Pedro na kama ile nafasi ya Pedro angecheza Odoi kungechangamka!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom