adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
Kimyaaaa
Ivi Huyu Kepa ndiye yule Kipa ghali duniani aliyekuwa akilinganishwa na DE GEA?
We ndiye kipofu kabisa ktk Watu wenye maono na Chelsea ijayo, pole sana Chifu.Aisee hii kasumba ya kufukuza makocha in the future itatuweka mahala pabaya sana kwa sababu hakuna kocha atataka kufanya kaz na sisi kikubwa tumpe nafasi next season mbona yuko poa kama ivo inapandisha vijana na kuwapa more experience #sarri[emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu vyema. Sometimes tuwe tunakubali pia uzuri wa opponentSasa mkuu unamlaumu kocha nini ,sema liver walikuwa bora kuliko nyie, bas
All in all nawaombea mkashinde kwa man u, ningependa msimu ujao muwepo UCL ,tot na man u waelekee europa
Yohana 3:16
Asante sana kuifanya siku yangu kuwa nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah sema inauma iyo, watu tulishazoea kuinua makwapa lakini saiv tunabana p** kana manyua na arsenal
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika makipa wa top six wote huyu ndo kipa mbovu zaidi Chel6 waliingizwa mkenge
Hatari sana
Nikiangalia kwa haraka haraka Wenye nafasi kubwa kuingia top four ni Arsena na Tottenham tu
Katika mechi zake za mwisho kucheza na timu top 5, Chelsea hajaambulia hata draw. Haiitaji kuwa mbobezi kujua kuna shida Chelsea.View attachment 1071682
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mechi zake za mwisho kucheza na timu top 5, Chelsea hajaambulia hata draw. Haiitaji kuwa mbobezi kujua kuna shida Chelsea.View attachment 1071682
Sent using Jamii Forums mobile app
Namwonea huruma Kante tu .Hana furaha kubadilishiwa position yake. Sarri anavuta bangi siyo Sigara tu.
huyu mimi nimepiga 2,liver 2,bournamouth 4,man city 6........aiseeeeehKikubwa Zaidi Ni Kuwa Kabugizwa Goli 16, Yeye Kaambulia 2 tu.
[emoji1787][emoji28]bora ukosee kuchagua mke ukamchagua amberlutty kuliko ukakosea kuchagua timu ukachagua hiki kikundi cha mazezeta chelsea hovyo kabisa
Mkuu hizi stats zako hazijakamilika. Naona umeweka nilizofungwa ili kuwachanganya watu. Man U tumetoka na draw ya 2-2 darajani akaja kunifunga 2-0 FA, Tot kanipiga kwake 3-1, darajani nimembabua 2-0, Liver kalazimisha draw ya 1-1 kwake Anfield, nikaja nikamfunga 2-1 Carabao Cup kwake, leo kanifunga 2-0. Ass Anal nimempiga darajani 3-2 nikaenda kwake kanifunga 2-0. Man City nimempiga 2-0 darajani, nikaenda kwake kanipa kipigo takatifu sina haja kukielezea.Katika mechi zake za mwisho kucheza na timu top 5, Chelsea hajaambulia hata draw. Haiitaji kuwa mbobezi kujua kuna shida Chelsea.View attachment 1071682
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nimekupiga ngap mavi wewe.?huyu mimi nimepiga 2,liver 2,bournamouth 4,man city 6........aiseeeeeh
Ass anal bhana. Msimu wa ngap huu unahesabu patupu.?bora ukosee kuchagua mke ukamchagua amberlutty kuliko ukakosea kuchagua timu ukachagua hiki kikundi cha mazezeta chelsea hovyo kabisa