Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu hizi stats zako hazijakamilika. Naona umeweka nilizofungwa ili kuwachanganya watu. Man U tumetoka na draw ya 2-2 darajani akaja kunifunga 2-0 FA, Tot kanipiga kwake 3-1, darajani nimembabua 2-0, Liver kalazimisha draw ya 1-1 kwake Anfield, nikaja nikamfunga 2-1 Carabao Cup kwake, leo kanifunga 2-0. Ass Anal nimempiga darajani 3-2 nikaenda kwake kanifunga 2-0. Man City nimempiga 2-0 darajani, nikaenda kwake kanipa kipigo takatifu sina haja kukielezea.

Sasa sijajua hapo ulikua unazungumzia mechi zipi. Kamilisha stats zako usipende ku screenshot ili mradi umekuta tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utuliege usome ukaelewa. Nimeongelea mechi za mwisho kukutana na hao watu na sio.mkusanyo... toka mwaka huu (2019) umeingia umepigwa hivi

Tarehe 24/02 uliloose.kwa.penati kwa city
Tarehe 18/02 ulipigwa na manchester
Tarehe 10/02 ulikula 6 na city
Tarehe 19/01 ulipigwa na Arsenal
Tarehe 08/01 ulipigwa na tott
Leo umepigwa na Liverpool 2 - 0
.
.
Mechi uloshinda ni ya tott ya tarehe 24/01. Apart fr hapo mechi zako na top 5 umechezea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sarri ball ya nyoko [emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20190414-214559.jpeg
Screenshot_20190414-214605.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utuliege usome ukaelewa. Nimeongelea mechi za mwisho kukutana na hao watu na sio.mkusanyo... toka mwaka huu (2019) umeingia umepigwa hivi

Tarehe 24/02 uliloose.kwa.penati kwa city
Tarehe 18/02 ulipigwa na manchester
Tarehe 10/02 ulikula 6 na city
Tarehe 19/01 ulipigwa na Arsenal
Tarehe 08/01 ulipigwa na tott
Leo umepigwa na Liverpool 2 - 0
.
.
Mechi uloshinda ni ya tott ya tarehe 24/01. Apart fr hapo mechi zako na top 5 umechezea!

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo kwa sasa hivi hatokuelewa maana kashachanganyikiwa mpe muda kidogo akili zikimrudia atakuelewa tu
 
Mashabik hamkosagi mtu wakumuangushia lawama ,kama kupanga wachezaji mnaowatakaga kawapanga,

Kwanini Usi waapriciate liver kuwa wamecheza vzr,na utambue kuna viwanja ambavyo ni vigumu, kimoja wapo anfield,

Yohana 3:16
Kama ulicheza mpira komenti yangu haita kusumbua aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom