Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea are among a number of Premier League clubs monitoring Ajax winger David Neres, who is expected to cost at least £34.5m this summer.

Hiyo ni kama rufaa yetu itawin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Stats zake zinafanana na za Hazard ana assists zinazokaribiana na magoli. Lazima atakuwa mzuri kwenye dribbling na kukaa na mpira
 
Ni kweli LUKAKU anazungumza Kiswahili???
Antwerp-born striker Romelu Lukaku is famous for his fluency in six - Dutch,French, English, Spanish, Portuguese and Swahili - and team captain Vincent Kompany speaks five. But some of the French-speaking players are monolingual - they don't even speak Dutch.
 
Wachezaji 10 wa Mpira wa Miguu Matajiri duniani by Oct 2018
Orodha hii inawahusu wachezaji ambao bado wanacheza mpira kwa sasa
  1. Cristiano Ronaldo (Juventus) $450 million.
  2. Lionel Messi (Barcelona) $400 million
  3. Zlatan Ibrahimović (LA Galaxy) $190 million
  4. Neymar (PSG) $185 million
  5. Wayne Rooney (DC United) $160 million.
  6. Alexandre Pato (Tianjin Quanjian) - $145 million
  7. Gareth Bale (Real Madrid) $125 million
  8. Eden Hazard (Chelsea) £100 million.
  9. Sergio Ramos (Real Madrid) - $80 million
  10. Sergio Aguero (Mancester City) $80 million
Wanaefuata nje ya 10 bora ni
  1. Arjen Robben wa Bayern Munich - $80 million,
  2. Willian Borges da Silva wa Chelsea - $75 million-
  3. Luis Suarez wa Barcelona - $70 million na
  4. Paul Pogba wa Machester United -$60 million
 
‘I think that there were two situations, Boril’s and Traore's chances. If there was a different keeper than Kepa, we would have scored,’ he said.

-Jindřich Trpišovský, Slavia Prague Manager

Trpisovsky felt that Chelsea goalkeeper Kepa Arrizabalaga played a crucial role for the Blues, making good saves to deny Jan Boril and Ibrahim-Benjamin Traore before Alonso’s winner.
 
‘You never get ten chances in such big games, only a few and you have to take them. We just needed more quality in some of the situations. When Kanté, Loftus-Cheek and Hazard came on to the pitch, Chelsea made it much harder for us.’ he said
-Jindřich Trpišovský, Slavia Prague Manager
 
Yaani ile nafasi angecheza Odoi, mbele kungechangamka. Willian ni mchezaji wa kaliba za juu, ni kwamba hana chemistry nzuri tu hasa striker, Giroud ni mzuri ila hajafikia viwango vya striker wa kasi na mwenye timing za cross-pass zile za willian na hazard
UNAMCHUKIA WILLIAN BAADA YA UWEPO WA ODII BINADAMU HATUNA SHUKRANI
 
Mason Mount chini ya Frank Lampard akiwa kwa mkopo Derby Count kutokea Chelsea siku ya jana kapiga Hat-trick yake ya kwanza. Miaka 20 ndio aliyo nayo kwa sasa na pia ni kiungo huyu dogo.

Hawa ndio aina ya viungo Chelsea inahitaji, kwa sababu una uhakika wa kupata zaidi ya goli 15 kwa msimu kama ilivyokuwa kwa Lampard mwenyewe. Nina imani chini la Lampard anajifunza vizuri namna gani ya kuwa best midfield. Bado tuna mazao maziri kutoka kwenye academy yetu.
IMG_20190414_092200_842.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakwenda Anfield kushinda tu...amna namna nyingine. Wazee tutaomba update kwa sisi tuliopo Huku ndani ya ziwa Busega tunatafuta riziki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom