Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wachezaji waliopangwa wanapiga pasi tu, kipindi cha pili tutafungwa kama kawaida yetu, kumuacha Emerson ,loftus na odoi kufanya maisha ya Chelsea magumu sana
Kocha alishtuka akaingiza kikosi kazi, hata hivyo leo Alonso alikuwa kwenye fomu baada ya kutukanwa kwenye mitandao mpaka akadisable comments kwenye Instagram yake
 
Waliotuangusha leo nio Pedro, Kovacic, kante alitakiwa acheze tangu mwanzo
Hazard alipoingia Slavia wakawa wanamdaka Hazarda badala ya mpira, Hazard sasa hivi wanamuogopa sana
Kepa anastahili kuwa GK wa ghali, kapangua za wazi kabisa 2 hivi, zingekubali labda ingekuwa 2-1 au Zaidi
 
Wachezaji waliopangwa leo ni Wale wapiga pasi tukipata goli ni bahati wote tunawajua wakifika second half wanafungwa goli la kichwa tena kona,
Chelsea uchezaji wao umebadilika, zile horizontal pass zimepungua kwa sasa wanafanya deep passes
Pedro na Kova walikuwa wazito sana na hasa Pedro hakuwa anatafuta chance, pale wangemuweka Odoi X10
 
Slavia walitupania sana, hata zile pasi za Kepa na mabeki wake leo imekuwa ngumu, jamaa walkikuwa wanakaba ile mbaya, wanacontroll, yaani wanakaa na mpira muda mrefu
Alonso kuwa kwenye good form ilitusaidia sana
Naamini London wiki ijayo timu itakuwa kwenye fomu nzuri na kikozi kazi kizima kitapangwa, ningependelea Christiansen apangwe Zaidi ya Luiz
 
Waliotuangusha leo nio Pedro, Kovacic, kante alitakiwa acheze tangu mwanzo
Hazard alipoingia Slavia wakawa wanamdaka Hazarda badala ya mpira, Hazard sasa hivi wanamuogopa sana
Kepa anastahili kuwa GK wa ghali, kapangua za wazi kabisa 2 hivi, zingekubali labda ingekuwa 2-1 au Zaidi
. WILLIAN USIMSAHAU KUMPA SHUKURANI JAMAA NI LEGEND SIJAWAHI MBEZA AISEEE
 
Shukurani zimwendee LEGEND willian hutubeba mazingira magumu alonso na nduguze . pedro akuwa katika mchezo alikuwa anawaza familia
 
Hazard on Liverpool game: “We want to finish in the top four. We don't care about who can win the title - City or Liverpool. We want to go there and try to win the game.” #LIVCHE #CFC

Kuelekea game yetu na Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AC Milan look increasingly likely to trigger Tiemoue Bakayoko’s €35 million purchase clause in his loan agreement from Chelsea.

Huyu auzwe au arudishwe.? Kama tutawin rufaa yetu naona auzwe tu kama tusipowin arudishwe kuokoa jahazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukurani zimwendee LEGEND willian hutubeba mazingira magumu alonso na nduguze . pedro akuwa katika mchezo alikuwa anawaza familia
Yaani ile nafasi angecheza Odoi, mbele kungechangamka. Willian ni mchezaji wa kaliba za juu, ni kwamba hana chemistry nzuri tu hasa striker, Giroud ni mzuri ila hajafikia viwango vya striker wa kasi na mwenye timing za cross-pass zile za willian na hazard
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom