Hizo nguvu za kufunga maturubai umetoa wapi Mkuu?? Pole sana MkuuMimi niko kwenye msiba uku napambana kufunga maturubai mkuu ..wafiwa hawaamini kilichowapata ..mtaani kumepoa sana huu msiba inaonekana ni mzito kweli....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumpe mudaSijui kwa nn Chelsea wanaendelea kumfuga huyu sari? Anaendelea kutupa aibu
Ninachomkubali Ollachuga Oc ni kuwa ana mbwembwe nyingiiiii tena usiombe pale Utd ikifungwa, ila wakipata kipigo anajipigaga ban mwenyewe..Ollachuga kashajipa ban tutamuona mwisho wa mwezi huu
Ninyi jamaa, mliona sisi kupata kipigo jana tumefaidiii.. Mkaona leo mpate cha kwenu[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ollachuga kashajipa ban tutamuona mwisho wa mwezi huu
Sijui kwa nn Chelsea wanaendelea kumfuga huyu sari? Anaendelea kutupa aibu
Huyu kijana mzinguaji sana..hajiamini kabisa
Hahaaa huwa hakawii kujipiga banOllachuga kashajipa ban tutamuona mwisho wa mwezi huu
Europa yetu hii ..tushindwe wenyewe..
Uyo praha tunamla nje ndani ..
Sent using Jamii Forums mobile app