Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni vurugu vurugu tuu
20190317_221604_rmscr-1.jpeg
 
AAhahhahahahahahahahh

Duh mnavyojipa ujiko utafikiri kweli kumbe mabua tu

Ahahahahahahahahahah
Mkuu hata haukupaswa kufurahi kwa sababu Chelsea kwa sasa hatuna effect yeyote kwa Liverpool ..sisi hata tukifungwa au kushinda gemu zilizobaki hatutaleta madhara yeyote Yale kwa Liverpool ..kwa huna haja ya kufurahi kwa sisi kupoteza na hata tukishinda huna haja ya kuumia ..

Ichi ni kipindi tu tunapita ..hata ninyi kwa mulipita uku sema kwa sasa wengi mumesahau ..

Am a Chelsea fan the Bluez forever..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe ni team SarriIN# au SarriOUT# ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom