Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,532
Naona majirahi mumepata mahali pa kupozea maumivu ya misiba yenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ligi imetukataa..Poleni wazee, leo mnafia kwenye mji wa machinja chinja Liverpool.
Dah ligi inazidi kuwa ngumu upande wetu ..sikumbuki Mara ya mwisho kushinda EPL ilikuwa lini..
Kwa huu mpira wetu naona kabisa Ole akitukalisha kwa Mara nyingine..Subiri nikapate miwani yangu kwanza maana siamini kama wewe ndio umeandika hii maneno.
Dah ligi inazidi kuwa ngumu upande wetu ..sikumbuki Mara ya mwisho kushinda EPL ilikuwa lini..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ata timu ikishuka daraja siwezi kabisa kuhama ..kwangu CHELSEA KinG OF LONDON AND whole ENGLAND ..ni kama kabila kwangu..siwezi kabisa mkuuHahahahahaha..... Ollachuga pole rafiki yangu
Leo hujakimbia, hamia timu inayoeleweka bhana achana na Chelsix
Sent using Jamii Forums mobile app
Europa tunaeza komaa lakini timu ikabaki ile ile tu ..ivi mtu kama Alonso anaeza kimbizana na Salah kwa sasa? kam Uyu aliyefunga goli la kwanza kamshindwa..Komaeni na Europa, mmejiweka kugumu sana kwa hizi mechi za Wolves na Everton.
Kwa huu mpira wetu naona kabisa Ole akitukalisha kwa Mara nyingine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni beki wa kumzuia Mane au hata Firmino ..tukikutana mtufunge tu kama Everton..2:0Your only way to play CL next season is via Europa league...
Kuwa serious kwenye Uropa ili ulibebe ipate tiketi ya kucheza Champion League kupitia Uropa.
Daaah nilikuwa nimepania kinomaaaa...Pole sana mkuu.
Najua mngeshinda leo ungesumbua sana kule nyumbani kwetu.
Ashahamia barca huyoHahahahahaha..... Ollachuga pole rafiki yangu
Leo hujakimbia, hamia timu inayoeleweka bhana achana na Chelsix
Sent using Jamii Forums mobile app