radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Weka hapa hiyo post au unajitungia meneno naona kichapo kimekuchanganya
Weka hapa hiyo post au unajitungia meneno naona kichapo kimekuchanganya
[emoji23][emoji1787]Ollachuga kashajipa ban tutamuona mwisho wa mwezi huu
Acha kujitoa ufahamu ..mlivyopigwa na Arsenal ulibaki kujifariji una FA, UeFA na EPL ..ukujua kwamba mpira wa mdomoni ni mrahisi sana..!!Weka hapa hiyo post au unajitungia meneno naona kichapo kimekuchanganya
Sari mwanasiasa maarufu ajuaye kucheza na akili za mashabiki, kesho atakutana na kimeo atakung'uta 5, keshokutwa atakutana na Bridhton atapigwa tena 2-0[emoji1787]Sijui kwa nn Chelsea wanaendelea kumfuga huyu sari? Anaendelea kutupa aibu
Nimekwambia weka hapa iyo post ushapagwa sigara avute sari huku bongo unalewa wwAcha kujitoa ufahamu ..mlivyopigwa na Arsenal ulibaki kujifariji una FA, UeFA na EPL ..ukujua kwamba mpira wa mdomoni ni mrahisi sana..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumpe muda
Sent using simu mbovu
Mrusi tangu kabaniwa visa hana khabari na timu kabisa ...siasa za yule bibi May zmechangia Sarri kusalia darajani mpka sasa..Ila poleni sana
Tajiri wenu kama anawasusa hivi
Timu ndio bovu, usimsingizie The Legendary Sarri ball ....... Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaah!...? [emoji4]Cheltako [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Naona mrusi ameamua kuirudisha team alipoitoa.
Back to where you belong.
Sent using simu mbovu
Acha uwoga Kaka, yani mpaka usemwesemwe na wapinzani ndipo uje ujitetee[emoji848]Hii Chelsea Inapaswa ivunjwe kabisa..yani timu ifutwe kabisa kwenye ligi..
Halafu tuanze upya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa niweke post ya nin sikumbuki ilipo halafu najiuliza had sasa uyo Ole umjampa mkataba wakati kawatoa nafasi sjui ya tisa/kumi uko hadi sasa mupo nafasi ya tano kwa muda..Nimekwambia weka hapa iyo post ushapagwa sigara avute sari huku bongo unalewa ww
Ni kweli. Yan ukiangalia vizuri. Kuanzia nafasi ya 4-6 ni tia maji tia maji
Ni kujipanga msimu ujao, mana naoa City wanakomva vikombe na majagi yote ya Uingereza[emoji34]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa timu gn hiyo ya kuwa nayo serious?Your only way to play CL next season is via Europa league...
Kuwa serious kwenye Uropa ili ulibebe ipate tiketi ya kucheza Champion League kupitia Uropa.
Komaeni na Europa, mmejiweka kugumu sana kwa hizi mechi za Wolves na Everton.
Kocha gn habadili mfumo kila siku ni 4-4-3 nakati kuna mechi zingine huhitaji mbinu hasa kuliko mazoea ya formation na ball position?Mwaka huu hampo vizuri kabisa
Yaani Chelsea iliyoanza ligi mechi 10 za mwanzo na hii sasa ni tofauti, sijui nini kimewakuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafurahi sana tukipigwa 7-0 kama tulivyopigwa na City, hapa ndipo utajua kwanini moyo ukishachoka kuvumilia huamua vyovyote vile?Sioni beki wa kumzuia Mane au hata Firmino ..tukikutana mtufunge tu kama Everton..2:0
Sent using Jamii Forums mobile app