adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
Na muda huo wa international break wamjengee kibanda cha sari cha kuvutia ganja pale stanford bridge ili apate stimu za ushindi naona hii ndo njia ya kutusaidia sisi chel6 tusishiriki futuhi mwakani mtagini abromovich aweze sikiliza hoja zetu jamaniUkipigwa sasa hivi, mpaka international break iishe ,mtakuwa mmepata taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
#Sigara kichwan ushindi uwanjani this is Sarriball