Huyu Nina miaka sijamwona huku. Hajahama timu kweli?Kuna mwingine anaitwa Ntuzu
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Huyu Nina miaka sijamwona huku. Hajahama timu kweli?Kuna mwingine anaitwa Ntuzu
Reminder :Chelsea ina matatizo kwenye defence,kiungo na ushambuliaji + mfumo anaoutumia kocha kuchezesha viungo ambao sio creative (Kovacic,Kante,Barkley,Jorginho) na pia kumchezesha Kante out of his main positionHuyu Higuain ambaye hata Morata amefunga magoli mengi kuliko yeye msimu huu ?
Na kibaya zaidi anakuja katikati ya msimu
Chelsea ina matatizo kuanzia beki,kiungo na mshambuliaji ngoja tusubiri kuona Higuain anafuta makosa ya kina Alonso,Luiz,Willian,Jorginho
Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu striker bila kubadili style ya uchezaji ni kazi bure. Na yeye ataonekana mbovu tuHii ni zaidi ya dharau. Hata kama kufungwa walau tungefungwa goli moja tungesema wamekamia lakini 4 tena bila hata majibu unaanzaje kujitetea.? Timu haifungi magoli inaruhusu tu.
Naanza kupata mashaka na Sarri. Amrudishe Kante nafasi yake, tuletewe kiubgo mwingine katikati pale, tunataka na striker wa maana. Hii haiwezekani.
Daah nimeumia sana. Sielewi!! Why
Sent using Jamii Forums mobile app
January 31, 2018
CHELSEA 0-3 BOURNEMOUTH
January 30, 2019
BOURNEMOUTH 4-0 CHELSEA
*#OneYearChallenge*


Hahahahaha!!!Sasa Maamuzi ya hichi kikao yamefikiaje? SARRI OUT au SARRIBALL must Continues?
View attachment 1009264
Nilichogundua ni kwamba Chelsea haiwezi hii timu hasa ikifika mwezi januaryJanuary 31, 2018
CHELSEA 0-3 BOURNEMOUTH
January 30, 2019
BOURNEMOUTH 4-0 CHELSEA
*#OneYearChallenge*
Msemaji wa familia ya marehemu Ollachuga njoo utupe muongozo, tunazika kabla ya kula ama tunakula kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app