Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo la mashaɓiƙi wa chelsea ni kuamini tuna uwezo wa ƙumfunga ƙila tunaekutana nae

mpira hauko hivƴo.

Chelsea sio timu ya wastani wa Point 1.5 kila mechi, mechi 24 points 47, Chelsea sio Napoli kwamba wanagombania top 4 au kufika Nusu fainali au kuingia kwenye Makundi

Tagerts za timu kama Chelsea ni kuchukua kila Kombe
 
Sarri on the match: "It is very difficult to have an idea about the performance because I think we played very well in the first half. Then we conceded the goal after 2 mins and stopped to play. Then we stopped to defend and then we are in trouble" #CFC #BOUCHE

Pumbavu sana
 
upande wa kiungo mbunifu chelsea tunafeli sana, hatuna kabisa, na sitazamii kocha kufanya maajabu yoyote yale kama hatakua na kiungo mwenye uwezo wa kupiga final pass, siku izi chelsea mpaka acheze ashinde ndo tunaweza jitutumua mbele za watu, ata uo ushindi tunao pataga huwa ni tia maji tia maji sana.
 
Chelsea's midfield need someone like Fabregas who had that vision and passing range to pick the man in the central areas with his inch perfect passes behind the opposition line. None of Chelsea's midfielders atm seem to have that vision or passing range.
huyo hana issue akimrudisha kante atakufa au ampadu akicheza anakomaa na watu aina moja jog na kova
 
Chelsea sio timu ya wastani wa Point 1.5 kila mechi, mechi 24 points 47, Chelsea sio Napoli kwamba wanagombania top 4 au kufika Nusu fainali au kuingia kwenye Makundi

Tagerts za timu kama Chelsea ni kuchukua kila Kombe
mkuu kabla hatujaangalia targets zetu, tuwatazame wapinzani wetu wana targets zipi pia

Dhana ya mashindano sio kwenda uwanjani na matokeo mfukoni

Kinachoifanya ligi ya uingeleza iwe unique ni hiki kilichotokea juzi na jana kwa city na chelsea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Higuain anagood movement, strength, passing, dribbling skills ila tatizo kama nilivyosema kipindi cha nyuma mawinger wetu ni wachoyo mtu anaona ni bora apige vyenga apoteze mpira kuna Pedro, Hazard, Willian hawa ndio maana mafoward wanapata tabu sana na kuonekana hawajui.

Ndio maana kocha akamuangalia Pulisic kama mchezaji ambae anatengeneza nafasi nyingi nzuri kwa foward kwa mpira huu hata Diego Costa angepata tabu sana vile vile hata CR7 pia angeshindwa kufunga kirahisi.

Tusikae kumlaumu Higuain wakati hakuna mpira ambao amepewa ukasema kweli hii ni nafasi yake kufunga pale wanapompa mpira ni kumchonganishia tu aonekane hana maana. Mtu anachelewa kutoa mpira na akitoa pasi basi foward anakuwa offside position.

Mfano mzuri Man City kila mtu anauwezo wa kufunga na kutoa assist hata goalkeeper anatoa assist wao wanaangalia kutengeneza nafasi nyingi tena za wazi ambazo foward hakosi kirahisi hata iwe vipi.

Kama Higuain atapewa hudumu na kuangaliwa kama the main man pale mbele atafunga tu sasa unakuta team inamiliki mpira 90’ ila bado striker anarudi nyuma kutafuta mpira hili ni tatizo kuonyesha kuwa mipira inachezwa mbali na eneo la kufunga mpira unachezeka sana kwenye mstari wa katikati tu hatuingii mpaka kwenye box hakuna creativity passes.

Kante ndio kama attacking threat kwa upande wa midfield jambo ambalo ni gumu kupata matokeo hawezi kupiga zile penetration passes kama wale mafundi wenye kazi yao kufanya hivyo.

Fabregas hakupaswa kuachiwa na ilihali hakuna mbadala wake.
 
Sarri na ubishi/ung'ang'anizi wake itatucost sana aisee. Sijui kwanini Italian coaches ni ving'ang'anizi. Jorginho sio defensive midfielder kabisa. Sijui lini Sarri ataliona hili. Hata Bournemouth wamesema they targeted Jorginho as a weakness and they stood on him". Rudisha machine Kante kwa position yake haraka
 
upande wa kiungo mbunifu chelsea tunafeli sana, hatuna kabisa, na sitazamii kocha kufanya maajabu yoyote yale kama hatakua na kiungo mwenye uwezo wa kupiga final pass, siku izi chelsea mpaka acheze ashinde ndo tunaweza jitutumua mbele za watu, ata uo ushindi tunao pataga huwa ni tia maji tia maji sana.
ni kwa nn jognho asipocheza tunashinda na key pass za ampadu zina afanya stricker kupata on target ss huyu jamaaa na kova waote wapiga padd mwngne amejall kurud byu. A KANTE arud mahaka pake
 
Chelsea - Bournemouth thoughts:

- Higuaín will get unfair criticism
- Hazard vanished in 2nd half
- Pedro is 31, I repeat, 31
- RLC must start at LCM
- Emerson poor but can’t be dropped
- Luiz abysmal
- Rüdiger & Azpi also not good
- Sarri w/ a disasterclass
- CHO must play
bora hizo quote huwe unabaki nazo ni uongo shida ni sarr na jognho
 
Higuain anagood movement, strength, passing, dribbling skills ila tatizo kama nilivyosema kipindi cha nyuma mawinger wetu ni wachoyo mtu anaona ni bora apige vyenga apoteze mpira kuna Pedro, Hazard, Willian.

Hata Ruud Gullit ameliona hilo. Anasema "I hope I am wrong, I really do, but Higuain is an old-fashioned striker who needs crosses and, if he plays up front all the time, he will not see many balls there because of the way Eden Hazard and Willian play"

Ruud Gullit on Gonzalo Higuain and Chelsea boss Maurizio Sarri

Na akatoa ushauri kabisa: "instead they need a centre-forward who can play in midfield too, and be effective on the ball as well as be a finisher inside the box. Roberto Firmino, who comes so deep for Liverpool, is the perfect example"

Yupo sahihi sana.
 
Naungana na wachezaji, sioni future ya Chelsea chini ya Sarri, mbishi, habadili mbinu, tunahitaji kocha mwenye vision na mbinu za kuifikia vision
 
January 31, 2018
CHELSEA 0-3 BOURNEMOUTH

January 30, 2019
BOURNEMOUTH 4-0 CHELSEA

*#OneYearChallenge*
 
Poleni sana ndugu zangu, mkiona watu wanafanya comebacks msidhani ni kazi ndogo hawa watoto huwa wanakaza sana.
 
Hii ni zaidi ya dharau. Hata kama kufungwa walau tungefungwa goli moja tungesema wamekamia lakini 4 tena bila hata majibu unaanzaje kujitetea.? Timu haifungi magoli inaruhusu tu.

Naanza kupata mashaka na Sarri. Amrudishe Kante nafasi yake, tuletewe kiubgo mwingine katikati pale, tunataka na striker wa maana. Hii haiwezekani.

Daah nimeumia sana. Sielewi!! Why

Sent using Jamii Forums mobile app

Ebana hivi nyie mpira mnaangaliaga vizuri kweli?Hiyo nafasi ya Kante unayoisema ni ipi?mmefungwa kwa sababu ya wachezaji wenu sio Sarri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom