Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Luiz namkubali kwa through pass ambazo znatupa assist lakn katika kudefend ni liability. Jana magoli mawili ni yake ndo maana aliomba msamaha kwa mashabk.

Nilifurahi kuona Alonso yuko bench na Emerson kaanza (japokuwa hajacheza vizur sana kama tulivyotarajia)

Hatua nyingne nataka Loftus Cheek awe LCM (Kovacic akae bench ni mzuri kwa pass lakn kushoot ni dhambi kwake, no goal threat)

RW (Pedro na Willian hana wazee wapumzike) Hudson Odoi aanze kule. Threat yake kila mtu anajua. Anapiga cross na hakai sana na mpira. Hana uchoyo wa ajabu.

Replacement ya Jorginho alikuwa Fabregas nw kaondoka. Juz kati Ampadu alijaribishwa ile nafasi hakucheza vzur. Kipnd cha pili Kovacic anacheza ile nafasi akaitendea hali kabsa. Kwa hyo kovacic ndo kidogo anaweza kumsaidia Jorginho.

Hazard hajitumi kabsa na nina wasiwasi mkubwa wa kuondoka July. 90% unaondoka. Tutumie hiyo hela kununua wachezaji. Watakaojitoa kwa timu kama Fekir, Pepe wa Lille.

Cross za Azpilicueta anatakiwa a improve kabsa

Mabeki (Luiz na Rudiger) kuwe na rotation hata kwenye EPL. Tuna Christensen, Ampadu. Tunaweza kucheza na (Christensen na Rudiger) kwenye EPL.

Maombi yangu (Emerson, Loftus Cheek, Odoi to start EPL games)

Kuna mtu humu aliniambia hatuwez kuchezesha watoto. Nkacheka tyu. Kwa nn Chelsea Wenzetu wanaweza. Liver wana Arnold, man u wana Rashford, etc tunachoangalia ni effect na siyo umri
 

Attachments

  • Screenshot_20190131-101313.png
    Screenshot_20190131-101313.png
    92.1 KB · Views: 27
Breaker News: Wakuu nimepata taarifa hivi punde kuwa Msemaji Mkuu Wa Familia Ollachuga Oc ni mahututi muda huu yupo ICU Agkhan Hospital.

Tushirikiane viongozi tumpatie japo mchango huyu mdau mwenzetu.
kuna kajamaa kamoja ndio kakawa kanafananisha haka katimu kake na yule mfalme wa london THE GUNNERS hahahahahahahahahahahahah sasa hivi katakuwa kanahemea mipira

bcc. Ollachuga Oc
 
tupa kule ili wazee wazima wenye nafasi zao tukae pale top4
 
Alipokua italy alikua anavuta bangi hadi uwanjani.....england wakamzuia kuvuta bangi uwanjani...kilichofata mashabik wa chelsea wanajua
FB_IMG_1548920302733.jpeg
 
Kante rud 6 jojinho nenda 8 ,bas tutamuona @Ollachuga humu,

Vinginevyo atakuwa anajipiga ban kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app

Kante sio namba 6 na hawezi cheza io namba


Toka leicester(namba 6 alikua Drinkwater) na hata msimu ule Chelsea anabeba ndoo (namba 6 alikua Matic) yeye ni always box to box ila anajua kukaba pia lakini ukimpanga Kante namba 6 basi utakua unajitaftia matatizo ila box to box Kante ndio best position yake


Jorginho ni playmaker na anacheza vizuri nafasi yake na mpaka sasa ni mchezaji wa pili kwa Chelsea na kwenye ligi kwa through balls (nyuma ya David Luiz)kuliko hata Erikse,Anderson na Sigurdson

Tatizo Chelsea ni forward line.Waneshindwa kuifunga timu yenye defense mbovu kama Arsenal wakati hadi timu kama Cardif zimemfunga!!!butu Hazard ana mechi ya tano kama sio 6 hajafunga ,Wilian nafikiri wadau wote wanaona utumbo anaoufanya pedro hana consistency na kwa sasa naona kaletwa Fat alvaro morata l(Higuain) aje kutoa msaada ila mpaka jana anatoka hajapiga hata shuti moja(0 shots)


Sasa jamani Sarri afanye nini?mlilamika alonso jana kacheza Emerson lakini hakukua na la maana zaidi

Mi naona Sarri hana makosa isipokua players ndio wanamuangusha
 
Naungana na wachezaji, sioni future ya Chelsea chini ya Sarri, mbishi, habadili mbinu, tunahitaji kocha mwenye vision na mbinu za kuifikia vision
wakati mwingine mashabiki akili zetu tunazijua wenyewe sisi kule kwetu tunamlaumu klopp,juzi juzi tu arsenal nao walikuwa wanamlaumu emery sasa bado zamu ya ole gunna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgomo wa kumtoa kocha umeanza
Hakuna kocha aliyemsema vibaya Hazard kwenye vyombo vya habari akabaki salama
Kitendo cha Sarri kumuita Hazard mbinafsi Zaidi ya kiongozi ndio tiketi yake ya kurudi Italy kwenye ile kazi yake ya Banker
Kaiharibu Chelsea ile ya attacking football kuwa Chelsea ya kukimbia kimbia uwanjani
Tena unawaita Kikundi hiki ni ngumu kuhamasisha kwa lugha ya mama yake
BYE BYE Sarri
Kabisa Yaaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom