Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,043
- 3,371
Team yetu ili iweze kushindana inahitaji wachezaji at least 4 wapya kutupekeka top four, ni bora kumuuza Kante na kumnunua cotihno tunampotezea muda kante kwa mwalimu aliyepo, tunamwitaji wan Bisaka azp awe anapumzika, Alonso bado naamini akili yake ikiendana na miguu yake Atafanya Makubwa , jogihno ampishe peredez ikiwezekana epl imekuwa nzito kwake, Higuain safi, ila sijui sababu ya kusajiri winga na kumuacha Dortmund team inateseka